BAC VS BAF

Mkuu kama huna data ni bora ukae kimya tu, hayo masomo mengi ya commerce ni yapi ambayo hayapo B.A.C, uje na data usije na maeno matupu. Au kwavile kuna neno commerce ndio ukadhani hivyo.
sasa wewe unataka nikujie na data au nikuonyeshe transcripts kabisa za watu wa bcom accounting na BAF?
 
Na cc fresh from school hatujasoma masomo ya biashara tumepata BAF mzumbe tutastahimili kweli?

mkuu nenda kakomae kama unauwezo wa kupambana, namkumbuka manzi mmoja yeye alitoka hkl walitaka kumhamisha course aende BBA but walipoangalia matokeo yake ya advance na olevel manzi aliua vibaya...advance alikua na div.1 ya 7 so walimuacha apige baf watu wengi walovamia baf walihamishiwa course zingine na manz akakomaa nayo
baf hasa wanachukua watu wa ECA,HGE,EGM,PCM,PCB but wengi account inawasumbua kutokana kukosa msingi kuliko watu wa ECA na diploma...wengi huwa wanaondoka mwaka was kwanza na wapili yaan wanakua discontinued
 
 
Mtoa mada anataka ushawishi ili abaki dsm aendelee kula bia na pisi za liquid ndio maana hataki kukubali ushauri mnaompa wa kwenda mzumbe
 

Mkuu BAF na Bcom in accounting kuna utofauti mkubwa sana , baf ni inahusu maswala ya finance na accounting but yanakuwa very deep, baf wanasoma standard karibia zote kama IAS na IFRS in deep tofauti na bcom in account ambazo wenyewe wanasoma deep katika commerce tu na wala siyo account, wenyewe account ni kama subsidiary hawasomi deep sana kama baf ndio maana hata imeitwa bcom (in) accounting.
pili course content za baf na bcom zmetofautiana kwa kiasi kikubwa, ninawatu wengi wanaosoma bcom ya UDOM na bcom ya UDSM wengi IAS na IFRS hawazijui..halafu finance na commerce haziwez kuwa sawa hata siku moja
 
Nasikitika kukwambia unachoongea hukijui hata kidogo.

sasa unasema baf inahusiana na maswala ya accounting and finance kwani B,com in accounting na Bachelor in accounting haideal na hivyo vitu????, kwa taarifa yako masomo yote 25 yanayosomwa kwenye baf yapo kwenye b.com na ba.c ambazo zina masomo 32.

Hizo IAS na IFRS zinafundishwa b.com na b.a.c, Kuanzia ppe, leasing, n.k,

Masomo hayo pungufu ambayo baf hawasomi na ni yamuhimu kwa fani ya muhasibu ni

Advanced taxation / Taxation 2
Financial Analysis / Internidiate accounting
Forensic Accounting and Fraud Investigations / contemporary issues in accoung
 
Okey, kama unazani una msuli mnene nenda BAF mzumbe lakini kama siyo usijaribu kupima kina cha maji kwa mguu usije ukaondoka na maji (disco)!

Shule ya Mzumbe hususa BAF siyo ya like mama
Mbona Kawaida tu boss Product zenu nimekutana nazo Interview nyingi nawakimbizaga au Mzumbe ipi maana naona wana uwezo wa kawaida tu na jamaa wana BAF.
 
Huyo manzi aliweza kutoboa au alikula disco?
 
Adi P
cB anachukua iyo course
afi mtu wa PCB anachukua iyo course
 
Mkuu vipi hii Bachelor of Science in Accounting and Finance ya Ardhi. Kwanini iitwe sayansi? na ina utofauti gani na hizo zingine????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…