ommy clear
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 214
- 58
Sorry waungwana naomba ushauri kati ya bachelor of accountancy na bachelor of accounting and finance ipi kati ya hizo iko poa zaidi. mawazo yenu ni muhimu kwangu ahsanten


MzumbeYa chuo gani ?
ile kusoma uzi nkajua kuna mechi ya hao jamaa
ila bapo BAF anashinda tena iwe mzumbe
Chuo gani?
BAF ni mziki nenda mzumbeTIA pia na mzumbe kote nimepata ndo nataka nicheki nisome ipi kati ya hizo mkuu
Kwaio bora nikapige BAF au nipige BAC?BAF ni mziki nenda mzumbe
BAFKwaio bora nikapige BAF au nipige BAC?