BAC VS BAF

Okey, kama unazani una msuli mnene nenda BAF mzumbe lakini kama siyo usijaribu kupima kina cha maji kwa mguu usije ukaondoka na maji (disco)!

Shule ya Mzumbe hususa BAF siyo ya like mama
Kuna kozi pale TIA wanaiita public sector accounting and finance, hii ina tofauti gani na BAF ya mzumbe mkuu??
 
Hilo neno la kwanza la Public sector maana yake ina specialize kwenye maswala ya uhasibu na fedha za public sector tu ,

Lakini BAF ina kuwa both public and private sector,

Kwa hiyo hiyo ya TIA inakuwekea mipaka ya kuahirika kwenye public sector tu lakini BAF inakupa wigo Mpana wa public na private sector,

Lakini kinachomata soma kile ambacho utaweza kuelewa na kuondoka na Cheti chenye ufaulu wa juu ,

Nazani hicho ndo muhimu maana kupata majaaliwa!
 
Well said broo!!! blessed
 
BAF zimegawanyika sehemu mbili yan BAF PS( business sector) na BAF BS(business sector)
aje kusoma BAF ya mzumbe aachane na account ya TIA kwan atapata exemption ya baadhi ya masomo pindi atakopokuwa anafanya mitihani ya CPA au ACCA...pill now mzumbe kuna kituo/ center ya CPA...cha msingi dogo awe yupo vzur katika msingi wa kozi hii,maana course hii siyo lelemama, hawaonag hasara kubaki na watu 50 kati ya 100 darasani, nadhani course hii inachuana vikali na ile bcom in accounting ya Udsm,

nb. awe na msingi was account na hesabu, tofauti na hapo hakuna muujiza.
 
TIA wanatoa BAF ya public sector alafu pia wanatoa bachelor of accountancy sorry broo kwa TIA nikasome ipi kati izo mbili na kwanini "ahsante"
BAF zimegawanyika sehemu mbili yan BAF PS( business sector) na BAF BS(business sector)
aje kusoma BAF ya mzumbe aachane na account ya TIA kwan atapata exemption ya baadhi ya masomo pindi atakopokuwa anafanya mitihani ya CPA au ACCA...pill now mzumbe kuna kituo/ center ya CPA...cha msingi dogo awe yupo vzur katika msingi wa kozi hii,maana course hii siyo lelemama, hawaonag hasara kubaki na watu 50 kati ya 100 darasani, nadhani course hii inachuana vikali na ile bcom in accounting ya Udsm,

nb. awe na msingi was account na hesabu, tofauti na hapo hakuna muujiza.
 
Zifuatilie zote mbili aangalia zinatofautian nn na ipi ipo deep zaid itakupa jibu but accounting and finance itakupa exposure nzuri
 
mkuu zmetofautiana hazfanan
ni majina tu, masomo yote ya B.Com na B.A.C yanafanana, labda tu hii BAF ya mzumbe ina masomo machache kuliko B.com na B.A.C

Cheki prospectus ya B.Com ya udsm na za B.A.C za vyuo kama IFM, IAA na TIA utaona hakuna utofauti, Ila ukija BAF ya mzumbe unona wana masomo kama 8 pungufu.
 
Na cc fresh from school hatujasoma masomo ya biashara tumepata BAF mzumbe tutastahimili kweli?
 
ni majina tu, masomo yote ya B.Com na B.A.C yanafanana, labda tu hii BAF ya mzumbe ina masomo machache kuliko B.com na B.A.C

Cheki prospectus ya B.Com ya udsm na za B.A.C za vyuo kama IFM, IAA na TIA utaona hakuna utofauti, Ila ukija BAF ya mzumbe unona wana masomo kama 8 pungufu.
Bcom accounting ana advantage kuu moja,kasoma masomo ya commerce mengi,So anafit kwenye mambo mengi yanayohusu biashara,hao BAF na BAC wao wamejikita kwenye uhasibu na fedha tu.
 
Mkuu kama huna data ni bora ukae kimya tu, hayo masomo mengi ya commerce ni yapi ambayo hayapo B.A.C, uje na data usije na maeno matupu. Au kwavile kuna neno commerce ndio ukadhani hivyo.
 
Back
Top Bottom