Mkuu huyu ni mtu halisi!
Yes,why not!are you sure?
Yes,why not!
Ondoa shaka mkuu!I doubt!
Mkuu haya ni mambo ya uzee!mkorogo effects.
Acha kumkashifu shemeji yako!du h, hii matata sana , sura kama mjusi guruguja yaa, izo make ups tu
Hata unapokula vitu vyenye TBS ujue kuwa hauko salama!
khaaaa Elli mchumbako huyoooo.......naye fasheni haimpiti.....naona katupia lips za niki minaji na wigi za mange!
na sijui ndo anapaka obagi kam aya wema........hii lazima iwe feki!!!