"Baby umependeza" Je umechangia sh ngapi au umenunua kipi? Wanaume mnaboa

Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza.

Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira.

Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel fulani au ukipost picha*Masifa kibao*

Wanaume sifia mtu wako Kama umemuwezesha kupendeza,tunaona kinyaa kunisifia kupendeza huku hakuna ulichochangia kwenye urembo wangu au asilimia zako ni ndogo sana kwenye kunipendezesha.

Unapata wapi nguvu za kumsifia mwanamke na hukuchangia chochote kwenye urembo huo? Ni aibu na mnaboa na mnakera.

Msifie mwanamke uliyeajibika kumpendezesha kwa asilimia 100,tunajisikia raha sana na kupendwa

Kona ya Bwiru
Nyie tukipendeza mkatusifia huwa mmewajibika
 
Kuna wadada wapo very smart hawana time na pesa ya mwanaume...
Ila ukutane na hawa walanguzi wa mapenzi yaani ni hela hela hela tuu
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza.

Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira.

Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel fulani au ukipost picha*Masifa kibao*

Wanaume sifia mtu wako Kama umemuwezesha kupendeza,tunaona kinyaa kunisifia kupendeza huku hakuna ulichochangia kwenye urembo wangu au asilimia zako ni ndogo sana kwenye kunipendezesha.

Unapata wapi nguvu za kumsifia mwanamke na hukuchangia chochote kwenye urembo huo? Ni aibu na mnaboa na mnakera.

Msifie mwanamke uliyeajibika kumpendezesha kwa asilimia 100,tunajisikia raha sana na kupendwa

Kona ya Bwiru
Kwa iyo akishakua mpenzi wako, unakua yatima?
 
Wewe taja bei yako tu maana tushajua kama unajiuza
 
Naweee uache kuwa mlanguzi wa mashangazi, utaangukia kwa wajombaaa
Wajomba nao wana akili chafu kama za kwako ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ila niliponea chupu chupu kwa yule mjomba wanamuita mis nani sijui qmmk
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
In short wewe hujawahi kumanage familia.
Mkuu this is Africa hata sheria tu za kumlinda โ€œmama wa nyumbaniโ€ kwenye divorce ni kichefuchefu
Imagine binti yako injinia anakataa ajira au kujiajiri kwa taaluma yake ili ameneji familia yake kwa kuwa mama wa nyumbani halafu mumewe anakuja kum divorce na miaka 45

Narudia tena wajengee mabinti zako mentality za kuja kuwa maRais kama Samia madaktari au mainjinia au kuja kuwa wajasiliamali wakubwa .... nasio kuwaaminisha kuwa โ€œmama wa nyumbaniโ€ ni kazi kama kazi zingine

Wazazi wangu wote walikua wanafanya kazi, mimi na mwenzangu tunafanya kazi i do hope my next generation to come will do the same
 
Ndo tunapima kama utaajibika kunitunza utakaponioa au utanioa niende kuzeeka mapema ,Kama uchumbani uliajibika ipasavyo huko mbeleni ni raha,Kama uchumbani uliniita ombaomba huko mbeleni ni majanga
Huwezi kumpima mwanaume kwa style hiyo bali yeye mwanaume ndio anakupima wewe,mwanaume anaishi kulingana na wewe ulivyo ukitaka kujua hilo unaweza kukuta anamwanamke mwingine anamuhudumia kweli kweli
 
Wakuu mmepaniki ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Mwanamke kama mtoa mada kuolewa kwake ni vigumu kwasababu hakuna anachooffer kwa mwanaume mpaka atimiziwe kila kitu, kuna mahala mwanaume ukimgusa hautaji nguvu kubwa ya kumuomba mahitaji yako kuna mwanamke unaweza kukuta hana kazi yoyote but kuna maeneo anakufurahisha hasa kwenye mawazo au ushauri, sex ya maana, heshima yake ya kiwango cha HD n.k
 
Back
Top Bottom