Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 6,843
- 11,017
Kazi ni shughuli ya kudumu uliyoamua kuifanya kuendesha maisha yako...... wazungu wanaita CAREERWhat comes to your mind ukisikia neno "Kazi"
Kumpeleka mkwe wangu hospital hiyo ni Kazi.
Kwamba hupati picha kama ingekuwa na mke asiyefanya Kazi?, Kwamba anafanyiwa kila kitu isipokuwa kula na kulala tu, si ndiyo?.
Kumpeleke mkwe wako hospitali sio kazi(career) ni jambo unalofanya ukiwa na nafasi tu
Sipati picha jinsi ambavyo ningekuwa na kibarua kuhudumia familia plus extended family all alone kama wife angekuwa na “career” ya ku manage family
Mke wangu anakipato kikubwa kazi kwake kuliko mimi