Sikukuu hizi, SMS za nikwambie kitu ni nyingi sana, tupeane ujanja

Nyamesocho

JF-Expert Member
May 5, 2023
476
1,244
Kumbuka hela ya mwezi December ndo itakuvusha mpaka January kwa ajili ya maandalizi ya watoto kuingia shule na ndo hiyo hiyo utahudumia siku kuu za mwezi huu na mwaka mpya

Na nikipindi cha zile sms pendwa kutoka kwa jinsia ya kike nikwambie kitu

Broo ukiambiwa nikwambie kitu sasa hivi Jibu hivi "Nimepata dharura uje uniambie kesho"

Au "Sitaki kusikia hicho kitu subiri February unambie hicho kitu"

Au kata mawasiliano weka flight mode

Au wewe unashauri tuwajibu vipi kipindi hiki cha mizinga ya wazi wazi ?
 
Nashukuru Mungu ntakua Sina wakinisumbua Ivo Sasa apa
 
Akikuambia anataka kukuambia kitu na wewe unamwambia hata mm nltaka kukuambia kitu, hapo atasema uanze wewe so hapo unamuomba pesa then atasema hana na wewe unamwambia akuambie alichotaka kusema hapo atabadili au atasema anaomba pesa so akisema anataka pesa na ww unasema c umeona hata Mm nmekuomba pesa
 
hapo watoto wa mjini wanasema ngoma droo.

Hakuna atakae mlaumu mwenziee maana wt meombana kitu hamna
 
Kumbuka hela ya mwezi December ndo itakuvusha mpaka January kwa ajili ya maandalizi ya watoto kuingia shule na ndo hiyo hiyo utahudumia siku kuu za mwezi huu na mwaka mpya

Na nikipindi cha zile sms pendwa kutoka kwa jinsia ya kike nikwambie kitu

Broo ukiambiwa nikwambie kitu sasa hivi Jibu hivi "Nimepata dharura uje uniambie kesho"

Au "Sitaki kusikia hicho kitu subiri February unambie hicho kitu"

Au kata mawasiliano weka flight mode

Au wewe unashauri tuwajibu vipi kipindi hiki cha mizinga ya wazi wazi ?
Usisahau kama umepanga........

Mwenye nyumba anajua ada ya watoto wake ipo kwako.
 
Back
Top Bottom