twafa-kali
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 251
- 211
Jamani hiyo kauli nimetokea kuichukia na kuiogopa kwani mara
nyingi (zaidi ya 99%) nikiambiwa na mpenzi wangu na pia hata
kwa wanaume wengine wenye wapenzi wao ni kupigwa mzinga.
Sasa hivi nikiona sms ya neno hilo huwa napotezea kwa kutoijibu
kabisaaaa as if sijaisoma kutokana na kutingwa na kazi nyingi.
Tafadhali naombeni wazoefu waniambie njia nyingine ya kukabiliana
ukiulizwa swali hilo na wapenzi wetu hasa wa jinsia ya Ke