Baby, bando hilo kwio?Hebu njoo hapa ujibu kama baby....
Unamletea nini mkuu!?Bundle limepanda bei baby nakuletea kisimi cha torch tuangazie maisha mapya bila bundle
Wanasemaga kuna mchongo nausikilizia ukitiki tu nakulekebishia"Nitakuunga, Kuna hela naisikilizia"
Chuo cha Veta mkuu, unamaanisha mabando ya chuo yanatofautiana na vyuo tunavosoma?