Bundle limepanda bei baby nakuletea kisimi cha torch tuangazie maisha mapya bila bundleHebu njoo hapa ujibu kama baby....
....bebi njoo geto uchukue bando lako, niko peke yangu hata majirani nao wametok. Njoo tu uchukue, chukua bodaboda uje fasta nitamlipa.Hebu njoo hapa ujibu kama baby....
Chuo gani unasoma?Ntamjibu "Wee koma kila mtu apambane na mtandao wake na hivo vifurushi". Ila jamani yaani kweli bando la chuo voda sh 3000 unapata MB 600 kweli kweli??? Tutanyooka
WapiHebu njoo
Acha ujinga Mr maneno mengi mimi sio Baby wakohapa ujibu kama baby....
Chuo cha Veta mkuu, unamaanisha mabando ya chuo yanatofautiana na vyuo tunavosoma?🤔Chuo gani unasoma?