Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,491 Reaction score 100,891 Jan 4, 2014 Thread starter #81 Haya sasa ni msimu wa kuombwa kodi za nyumba na ada za watoto na za kwao pia, Wanaume wenzangu kaeni attention wanakuja
Haya sasa ni msimu wa kuombwa kodi za nyumba na ada za watoto na za kwao pia, Wanaume wenzangu kaeni attention wanakuja
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,342 Reaction score 10,688 Jan 4, 2014 #82 Heaven on Earth said: Kanigini kwa hiyo ulitaka nikuombe 500 ya vocha!!!!!!!!!!!! halafu na mwanaume unaesubiri kuombwa ndio utoe nae tu ni bahili we jua mwanamke anahitaji kuhudumiwa Click to expand... umeona eeeeeeeeeeh!! unanidai like. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Heaven on Earth said: Kanigini kwa hiyo ulitaka nikuombe 500 ya vocha!!!!!!!!!!!! halafu na mwanaume unaesubiri kuombwa ndio utoe nae tu ni bahili we jua mwanamke anahitaji kuhudumiwa Click to expand... umeona eeeeeeeeeeh!! unanidai like.
J Jizzy1 JF-Expert Member Joined Sep 29, 2013 Posts 462 Reaction score 128 Jan 4, 2014 #83 habari ya hapa said: Mwanaume asiyechunjwa ana mawili 1. Anapiga Punye 2. Mashine yake haifanyi kazi (imekufa) hainyanyuki kabisaaa mwanaume lijali anachunwa 48hrs Click to expand... Mkuu hii research yakoo?? Kuna tofauti kubwa sana Kati ya kutoa kwa shinikizo na kutoa kwa kujisikia. Anyway huu ni mtazamo sio research.
habari ya hapa said: Mwanaume asiyechunjwa ana mawili 1. Anapiga Punye 2. Mashine yake haifanyi kazi (imekufa) hainyanyuki kabisaaa mwanaume lijali anachunwa 48hrs Click to expand... Mkuu hii research yakoo?? Kuna tofauti kubwa sana Kati ya kutoa kwa shinikizo na kutoa kwa kujisikia. Anyway huu ni mtazamo sio research.
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,236 Reaction score 26,770 Jan 4, 2014 #84 Elli said: Haya sasa ni msimu wa kuombwa kodi za nyumba na ada za watoto na za kwao pia, Wanaume wenzangu kaeni attention wanakuja Click to expand... hahaha Elli umenichekesha LOL Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Elli said: Haya sasa ni msimu wa kuombwa kodi za nyumba na ada za watoto na za kwao pia, Wanaume wenzangu kaeni attention wanakuja Click to expand... hahaha Elli umenichekesha LOL
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,236 Reaction score 26,770 Jan 4, 2014 #85 Husninyo said: umeona eeeeeeeeeeh!! unanidai like. Click to expand... Afadhali na mie nimepata wa kumdai maana mie ndo nadaiwa kila siku
Husninyo said: umeona eeeeeeeeeeh!! unanidai like. Click to expand... Afadhali na mie nimepata wa kumdai maana mie ndo nadaiwa kila siku
T tajirijasiri JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 2,863 Reaction score 3,854 Jan 4, 2014 #86 Heaven on Earth said: Kanigini kwa hiyo ulitaka nikuombe 500 ya vocha!!!!!!!!!!!! halafu na mwanaume unaesubiri kuombwa ndio utoe nae tu ni bahili we jua mwanamke anahitaji kuhudumiwa Click to expand... Mwanamke anaesubiri apewe hela ndiyo atoe, nae ni bahiri vile vile! Kwani wewe hujui mwanaume anataka nini! Wewe toa kiroho safi! Na dume litatoa kiroho safi! Ukizungusha zungusha na wewe unazungushwa zungushwa! Tena hata mia 500 hupati labda mia! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Heaven on Earth said: Kanigini kwa hiyo ulitaka nikuombe 500 ya vocha!!!!!!!!!!!! halafu na mwanaume unaesubiri kuombwa ndio utoe nae tu ni bahili we jua mwanamke anahitaji kuhudumiwa Click to expand... Mwanamke anaesubiri apewe hela ndiyo atoe, nae ni bahiri vile vile! Kwani wewe hujui mwanaume anataka nini! Wewe toa kiroho safi! Na dume litatoa kiroho safi! Ukizungusha zungusha na wewe unazungushwa zungushwa! Tena hata mia 500 hupati labda mia!