Johnny Bravo
Senior Member
- Dec 4, 2013
- 107
- 46
kwa hiyo we tangu utoe laki hujatoa tena!!!!!!!!!!
au unadhani mwanamke kupendeza ni kusuka tu!!!!!!!!!!!1
ha ha ha haduh kazi ipoMwanaume asiyechunjwa ana mawili
1. Anapiga Punye
2. Mashine yake haifanyi kazi (imekufa) hainyanyuki kabisaaa
mwanaume lijali anachunwa 48hrs
Something 4 something,nothing gonna 4 somethingAu kwa lugha nyingine ni "Quid pro quo"
Pamoja na responsibilities, kweli mi nitoe tuuu kama huyo jamaa kwenye thread, kila siku kutoa tuuuu. Hata kuonja no! Anatakiwa apewe motivation ya kutoa bana.
Wanaume tunatafuta pesa ili ziturahisishie kupata papuchi, sasa kama pesa natoa na papuchi sipati, mi ntakua mwanaume kweli. Nipe pauchi nikupe password ya account.
Hizo zingine ni ndogondogo sana. Huyu wa sasa ameajiriwa kwa hiyo vitu ambavyo sio kwa utukufu wangu
mimi sividhamini. eg: Nauli ya kuendea kazini hiyo anapewa na mwajiri wake.
Kanigini kwa hiyo ulitaka nikuombe 500 ya vocha!!!!!!!!!!!!
halafu na mwanaume unaesubiri kuombwa ndio utoe nae tu ni bahili we jua
mwanamke anahitaji kuhudumiwa
your such a sweet Darling.......sifa ya mwanaume ajue kutumia pesa kwa babe wake
ukiwa bahili wanawake wazuri utaishia kuwaita mashemeji
I think I want to try in the red part Lol.......
Motivation lazima upewe ila kuna wengine ni wa kuwachuna tu
anajifanya anajua kutoa akija anga zako unamtumia effectively na papuchi humpi
No, issue hapa ni maelewano, nikikupa ya vocha ukaona haitoshi kunipa basi achana na mimi. Chukua hiyo hiyo uondoke, sio kila siku unachukua vocha huku unajua hii haitoshi we kunipa mambo, ni utapeli.
Tuhabarishane mapema ili nijue huu sio mziki wangu nitambae au niongeze jitihada.
au kama vipi.muwe mnataja bei kabisa as naona hapa ishu imekua ''simpi papuchi mpaka atoe hela!''
Hahah! kula gwara mrembo..
Mi kunichuna mwisho 48hrs after 72Hrs lazima niwe nimekuchuna na wewe kwa kukusugua.
mmmh aya kuchunwa akukwepeki tena mwakani tunakuja na mbinu mpya
nakuunga mkono na miguu
ila inaonekana we pesa yako haitoki kirahisi kabisaaaa
we mwenyewe kama uko kazin sa hivi na huu mda unautumia JF jujue pia na wewe ni tapeli pia
kama huyo mdada anaechukua vocha zako na papuchi hatoi hakuna utofauti
vocha unatoa na nikitaka kuongea na wewe nakubip usipopiga shauri yako
Nothing goes for nothing......Ni shidaaaaaKuchunwa mimi poa tu lakini na wewe uwe mwepesi wa kutoa papuchi!Hapo haina noma.Nipe nikupe/win win condition
Ukitajiwa utatoa !!!!!!ukihisi unataka za kutajiwa nenda Corner Bar
kwan unasugua 24 hrs????