Tatizo mnabana sana ndio maana sasa hivi hatuoni umaana wa nyie kupendeza.
Mimi nakuwaga muwazi na nikogi hivi hata demua wangu anajua kwa sababu mi ni kijana naelewa nini maana ya kupendeza. Nimemnunulia sister duu wangu vifaa vyote vya muhimu kama saluni kuanzia hand dryer, ile ya kuunguza nywele, sijui vibanio na rundo la mavipodozi sijisifii wala haikua hela nyingi kama 100k hivi.
Masharti ni kwamba hivyo vyote ni kwa utukufu wangu, akipendeza tuu!:couch2:... Namkumbusha haya mama unaona ulivyopendeza?!..Haya tangulia chumbani nakuja :hungry:... Sasa hivi laki yangu imerudi na faida juu..
teh teh teh kazi ipo
Kuna mmoja alinisusa toka may jana kanipigia cm nimekumis nyng,Leo Namuudumia
faida imekuwa ipi mkuu?
hapo ww faida unapataje au cjaelewa
muone kwanza!!!
Mwanaume asiyechunjwa ana mawili
1. Anapiga Punye
2. Mashine yake haifanyi kazi (imekufa) hainyanyuki kabisaaa
mwanaume lijali anachunwa 48hrs
Ohhh! Sory! Nilikua najua niko na Wachumi wenzangu...
Hebu Copy n Paste hii kwenye google Economic Profit Vs Accounting Profit
..... There can be Accounting Loss in numerous Economic Profits...
Hii funga mwaka mkuu ila ukiangalia ni kweli kabisa ...
hata uwe na phd ya uchumi kwenye haya mambo hutakwepa bado utachunwa tu
wengine hawataki wakati ndo wanawawezesha watu kuwa mjini na kufanya matanuzi ya kuzika mtu
bwana wee Mtajua wenyewe we unadhani si tunaangaika juani ili iweje?
Nijenge nyumba ili iweje?, Nilale...nikishalala?, Niamke nikishaamka...
Papuchi kwanza ndio akili inikae sawa wat is next.
Wewe mtoto kafungasha hapa na kibaha kwa matiasi eti nimuwache kisa pesa ngumu.. ugumu wenyewe kukaa kwenye vikao vya Rmashauri.. ah! nisiseme mengi tuwacheni..
nimekushindwa Mpwa wangu
Tatizo mnabana sana ndio maana sasa hivi hatuoni umaana wa nyie kupendeza.
Mimi nakuwaga muwazi na nikogi hivi hata demua wangu anajua kwa sababu mi ni kijana naelewa nini maana ya kupendeza. Nimemnunulia sister duu wangu vifaa vyote vya muhimu kama saluni kuanzia hand dryer, ile ya kuunguza nywele, sijui vibanio na rundo la mavipodozi sijisifii wala haikua hela nyingi kama 100k hivi.
Masharti ni kwamba hivyo vyote ni kwa utukufu wangu, akipendeza tuu!:couch2:... Namkumbusha haya mama unaona ulivyopendeza?!..Haya tangulia chumbani nakuja :hungry:... Sasa hivi laki yangu imerudi na faida juu..
wengine hawataki wakati ndo wanawawezesha watu kuwa mjini na kufanya matanuzi ya kuzika mtu
bwana wee Mtajua wenyewe we unadhani si tunaangaika juani ili iweje?
Nijenge nyumba ili iweje?, Nilale...nikishalala?, Niamke nikishaamka...
Papuchi kwanza ndio akili inikae sawa wat is next.
Wewe mtoto kafungasha hapa na kibaha kwa matiasi eti nimuwache kisa pesa ngumu.. ugumu wenyewe kukaa kwenye vikao vya Rmashauri.. ah! nisiseme mengi tuwacheni..
Mambo yako bade kiaje!!!!!!!!!
.Yaani hapo kaniboa kweli buzi unatakiwa umpige mzinga kweli mbele ya safari unafanya kitu cha maana
anahitaji kuhudumia lkn yy hatoi huduma makubwa haya, naona km wanatuzingua mbona huko mtaani wanatoa tena bila hakuombwa hapa wanajidai kulalama
View attachment 129570ujumbe uwafikie wanaume wote mabahili
Yaani mtu anaomba hela ya nyumba wakati mi mwenyewe nyumba sina! Anaomba hela ya gari wakati mimi sina gari, nitawezaje? Refer hii hapa chini
.
Kama mimi sina kitu cha maana nakuhongaje hela ya kwenda kufanya kitu cha maana?
Ndio maana inabidi kama unataka vitu vya maana uende kwa mapedejee wa unga au wababu ambao walishamaliza kusomesha, wanakula pensheni. Mi zangu unaishia kusuka tu.
Hutaki ya kusuka kaa na papuchi yako.