sikongefdc
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,610
- 2,158
Nikila michembe rost na uji mara paap namcheki bashite tunaenda kwa Dr Louis namchukua mtoto nawaacha nyumbani wapigane........ Sijui kama nimeelewa
Dang, unajimilikisha kabisaa bila shari.In some cases ni kheri ukutane na single parent aliyefiwa.
Mwanamke huwezi kuchagua.Hii ilinifanya nichelewe kusettle down, I wanted 2b sure of the things first. Lakini unakuta na na mtu yalisha mkuta unajikuta umekuwa mama wa kambo au baba wa kambo pasi kutarajia.
Asante sana wakubali matokeoSummary memaanisha hivi wanawake waliozaa na wanaume alafu hawajaoana na wameachana ila wanaukaribu sababu ya mtoto hawataki with kuleta fujo wanapokuta baba daddy's wanawapenz wapy watulie tu sababu waliachana