Kwa uelewa wangu mdogo mm nilichokielewa ni kwamba jamaa alizaa na binti then wakaachana sasa jamaa kapata binti mwingine anataka kuoa yule maza mtoto baada ya kugundua hilo analeta fuja kwa current mdadaNi nini hujaelewa?
fuja?Kwa uelewa wangu mdogo mm nilichokielewa ni kwamba jamaa alizaa na binti then wakaachana sasa jamaa kapata binti mwingine anataka kuoa yule maza mtoto baada ya kugundua hilo analeta fuja kwa current mdada
Fujo typing error ndugu yangu hope nimeelewekafuja?
Huyo baby mother dawa yake anaishia nje hata ndani kuingia hafai,kwa usalama zaidi.Umekutana na mkaka wa 35+ anakwambia yuko single lakini ana mtoto wa miaka 7 na ana shared parental responsibilities. Dinner ya kwanza alikupeleka restaurant, ya pili alikupeleka movie kwanza ndiyo mkaenda dinner na aliku drop home safely.
Mtoko uliofuatia ameamua kukuonyesha ufundi wake wa kupika. Amekukaribisha kwake na kukupa tour ya nyumba. Kweli chumba cha mtoto kimejaa ma-toy kibao unakumbuka kuwa kuna mtoto.
Relationship inakwenda vizuri, amekuhakikishia kuwa ni mwaka wa pili huu tangu baby mother aanze na hawakuwa kwenye ndoa lakini sasa hivi ameamua kuoa. Mtoto mmeshaonana na mmekuwa play partners. Mtoto amesha mhadidhia mama yake auntie anavyotengeneza chapati tamu J'mosi.
Siku hiyo mtoto analetwa baby mother amekuona kwa mara ya kwanza analianzisha.
Jamani hukuwepo kwenye picha mwaka wa pili huu, give me a break!!!
Kumruhusu huyo baby mama kuingia ndani ya nyumba ni jambo la hatari, anatakiwa aishie nje.Mtoto anakaa wiki moja kwa mama na ya pili kwa baba
Mimi nilishaapa sitaki kuchanganya familia kusema huyu mtoto ana mama yake na huyu ana mama mwingine.Na si ajabu yeye ana boyfriend, huko mtoto ana uncle lakini huku analianzisha
Hii ilinifanya nichelewe kusettle down, I wanted 2b sure of the things first. Lakini unakuta na na mtu yalisha mkuta unajikuta umekuwa mama wa kambo au baba wa kambo pasi kutarajia.Mimi nilishaapa sitaki kuchanganya familia kusema huyu mtoto ana mama yake na huyu ana mama mwingine.
Na sitaki mtoto alelewe bila baba na mama kuwa pamoja.
Ni kweli, mapenzi hayana hojaji, ila kuna mambo fulani yanakuwa ideal.Hii ilinifanya nichelewe kusettle down, I wanted 2b sure of the things first. Lakini unakuta na na mtu yalisha mkuta unajikuta umekuwa mama wa kambo au baba wa kambo pasi kutarajia.