Baby Kabae achemka Clouds360

uniq

JF-Expert Member
Nov 22, 2011
5,089
31,085
Baada ya kutoka kwenye matangazo kwenye kipindi cha Clouds 360. Mtangazaji Baby Kabae akikaribisha alisema karibuni tena Sta.. then akarudi kusema Clouds 360.
Kweli kilichomjaa mtu ndio kimtokacho. Wamevurugwa na Star TV.
 
ah!......
 
Duh.........aibu zingine muwe munajaribu kuzificha jamani.......kha!!
 
Ingekua kuleta uzi umu unalipia ingekua poa sana sasa ndo umeandika nini apa mdogo ake bashite
 
Back
Top Bottom