Baby i miss you, come back soon please

Baby i miss you, come back soon please

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,082
Reaction score
2,354
Yani kiukweli nikiwa mbali na mpenzi wangu afu akiwa ananiambia maneno hayo,huwa najickia raha sana na kujihisi kama huu ulimwengu wote ni wangu.kupendwa raha sana jamani!!
 
Well, sasa nenda mbali naye ili akuambie hayo maneno ili ujisikie raha.

Ikiwezekana usirudi, baki huko huko ili kila siku awe anakuambia hayo maneno ili uzidi kusikia raha....
 
unajua huwa anawaambia hayo maneno wangapi na wewe ukiwamo?au hukwambia akiwa na mchepuko ili usishituke....wewe anaambiwa hivyo wakati kuna mtu anakugegedea taratiiibu..unakula maneno mwenzako anakula nyapu safii kabisaa
 
walishaambiwa kama ulivyo ambiwa wewe kama 1000 wewe naisi utakuwa 101 teh teh, Network loading..............!!
 
Ni raha zaudi ikiwa kweli maana Mtambuzi amesema kuna wanaume wafujaji
 
Last edited by a moderator:
ni raha kama na yeye ata rudisha the same mwingine utasikia me tooo kamaliza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom