Uporoto keshaibiwa mwaya, wala usipitie previous posts katika hii thread utapata heart attack! Bora kuambiwa kuliko kuona..
Hahahha hahah,
Si unajua sie wa kule kule tunajua,
Umeamkaje leo,vp hali yako my dia,
Darling Uporoto na kabakabana kuna nini kinaendelea!!
Mbona unataka kuniua kwa BP darling!!
Uporoto keshaibiwa mwaya, wala usipitie previous posts katika hii thread utapata heart attack! Bora kuambiwa kuliko kuona..
huyo uporoto kasema mambo yenu yameisha mwaka jana,mbona bado unamng'ang'ania?nimepitia post moja moja amy..
Nitamfata uporoto mida ya lunch tulioongee hili. Halafu huyu kaby sijui nimfanyaje!
nimeamini kila mtu anapewa kinachomstahili.Yani wewe kwa udaku kama bwana'ko erick khaa
Uporoto kaweka voice mail.. Anajua kashalitibua huku!
khaa mmeendana kila sekta kumbe jana ulikuwa unazuga tu kumbe mshakubalianahahaha kwani unafikiri tulikutana wapi kama sio kwenye tukio!
Huyo sis king'anganizi ajabu we acha afadhali hapa ataona picha.huyo uporoto kasema mambo yenu yameisha mwaka jana,mbona bado unamng'ang'ania?
Kaba mbona anatumia laptop yangu hapa karibu ngoja nimshum kwanza mwaah!Uporoto kaweka voice mail.. Anajua kashalitibua huku!
Nafurahi kusikia ivo,leo niko fiti saana,nishatoka sokoni ndo napanga nyanya hapa kibandani kwangu.,
khaa mmeendana kila sekta kumbe jana ulikuwa unazuga tu kumbe mshakubaliana
Huyo sis king'anganizi ajabu we acha afadhali hapa ataona picha.
Kaba mbona anatumia laptop yangu hapa karibu ngoja nimshum kwanza mwaah!
Nafurahi kusikia ivo,
Vp shem wangu uporoto bado kalala au mko nae hapo niwapitie kuwa hi!
Namfikiria kaby, mwanamke pozi, usikubali haraka..
hehe hujui kuna watu wanammendea? We leta ya mwanamke pozi utashangaa umeliwa
Jamani erick cant do that to me..lol
Jamani erick cant do that to me..lol
you should wait for the wonders. Nina box la leso hapa hata usiwaze
Bby nilikuambia watu hawapendi kuona wenzao wanapendana...lol
hawana hata haya.....hasa huyu Kaby.....hhahaaaa
Kwako nimefika mama....