Baby come I take you to Ecstasy...


Simply speechless!
Thanks honey, just like incurable virus in one's body that it is me into your sweet, sexy and juicy body. I am going NOWHERE!
Missed you terribly, l hope this time you are here to stay!
 
Erotica ukoje wewe?

Tangu lini unanza gari kwa gia namba 5??

Bora ungesubiri Ijumaa.....

Ila kweli, fito moja ikiondoka kwenye nyumba lazima watu watachungulia ndani....

Safi sana kwamba fito imerudi....no more pains...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:

Sina hakika kama nimeona kila kitu...lol

Babu DC!!
 
Sasa hii naruhusiwa kumwongelea kila anayenitoa udenda au ni special kwa bibi tu?

Sorry, kama uzee unanipelekesha..lol!!


Babu DC!!

Like hell unakupekelekesha! LOL
In the first place hurusiwi kutolewa udenda na yoyote zaidi ya bibi licha ya kuadmit kuwa unatolewa udenda.

So better sober up, and kampige mistari bibi kabla hajapigwa na wajukuu wakware.
 
Inawezekana ni mimi tu ndo siajelewa eee? ila mimi sikusoma enzi za Mulugo na Kawambwa.. Pia shuleni kwetu hatukuwa na zero
 
Like hell unakupekelekesha! LOL
In the first place hurusiwi kutolewa udenda na yoyote zaidi ya bibi licha ya kuadmit kuwa unatolewa udenda.

So better sober up, and kampige mistari bibi kabla hajapigwa na wajukuu wakware.

Uko tayari kuhandle casuality wewe Kaunga??

Umesahau kuwa kadri umri unavyoenda watu wanazidi kuwa fragile?

Naomba usirudie tena kumtafutia babu ukomo wa safari...

Babu DC!1
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky na vizuri umewaita ili wasome wenyewe
na wajue kuwa roho inahifadhi vitu lukuki ambavyo
hakuna anayeweza kuvibaini.


kabisa na bora wasome wenyewe majungu yasiwepo wala nini
Maana wangehadithiwa wasingeamini
Moyo unahifadhi mengi sana na siku moyo ukiamua kuyatoa yaliyohifadhiwa ni balaa Mamndenyi love you sana
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…