Chum Chang
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 999
- 272
Yule kondoo "yassin" aliishia wapi?
Basi atakuwa kazaliwa na hizo nguo pia.
Mbona naona kuna kibakuli cha sadaka kwa kando, au macho yangu nini?
kila kitu ni usanii, akipima DNA anaweza kuta hawana hata ukoo na huyo mtoto.Baba mzazi itakuwa alikuwa ana uwezo wa ajabu,,,