lm317
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 451
- 44
Huyu babu hajui mambo mengi sana tu!Huyu babu ataua watu mpaka basi. Babu anawaambia watu ARVs waache. Aisee yani kweli nimeamini Africa bora universities tuzichome moto au kizigeuza maeneo ya kuchinja wanyama (abattoire). Karne ya 21 ati, watu wako kwenye nano engineering and quantum computing sie tunachemsha majani machungu. Huyu babu anajua nini kuhusu ARVs? Yani Tanzania kweli kuna vichekesho. But ignorance is bliss..Oh well.
-Hajui hata hiyo dawa yake inaota vipi? na ipo kiwango gani hapo Loliondo!
Ataendelea kuivuna bila kupanda mpaka lini?
Hajui wagonjwa hao anaowatibu kama kweli wanaumwa magonjwa hayo au vipi?
Hajui wagonjwa wangapi kawahudumia mpaka sasa na wangapi wamepona?
Hajui wasiopona ni wangapi na sababu za kutopona ni zipi!
Hajui-------
Hajui--------
Hajui, hajui, hajui
Na wanaoenda kutibiwa kwake hawajui vilevile!