Babu yangu kaniambia hivi

Babu yangu kaniambia hivi

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
ImageUploadedByJamiiForums1430910872.504908.jpg
 
Kula like 100,000,000,000,000,000000,000,000,000,000.
 
sawa kabisa lakini ishi duniani kama kwamba utaishi milele hivyo jitengenezee maisha ya dunia na vilevile ishi duniani kama kwamba utakufa sasa hivi hivyo jitengenezee maisha baada ya uhai

Swadakta
 
sawa kabisa lakini ishi duniani kama kwamba utaishi milele hivyo jitengenezee maisha ya dunia na vilevile ishi duniani kama kwamba utakufa sasa hivi hivyo jitengenezee maisha baada ya uhai

Kuna maisha baada ya uhai?
 
Kuna maisha baada ya uhai?

Bora ukaishi ukijua kuwa kuna maisha baada ya kifo ili utende mema na ikitokea umekufa unakuta yupo yeye aliyetuumba kuliko ukaishi kana kwamba hamna maisha baada ya hapa then ukatokea ukafa ukakutana nayo there is no room for marekebisho!
 
Back
Top Bottom