Le professel
JF-Expert Member
- May 14, 2019
- 554
- 811
Hakika, na naamini wale wanaokikubali kifo pale kinapo wapigia hodi, huwa wanakufa happier. Hawapati maumivu makali kama wale ambao wanakipinga!Inatakiwa ifikie wakati tukubali tu kifo ni sehemu ya maisha ya mwanadamu. Hivyo hatutakiwi kukiogopa sana.
Ingawa kusema ukweli kifo kinauma aisee! Halafu kinaogopesha.