Nyerere Day yangu leo nai-dedicate katika 'kuwachana' wajukuu wote wa Hayati Baba wa Taifa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,651
109,045
1. Matendo yenu yasiyovutia katika Jamii yanamuaibisha vilivyo Babu yenu aliyeliheshimisha Taifa hili letu

2. Mna Sifa zilizopitiliza na Ushamba mwingi kwa Kujivunia Jina la Babu yenu

3. Mnapenda Kulitambia na kulitumia vibaya Jina la Babu yenu Mitaani, katika Jamii na Maofisini

4. Wengi wenu Kitaaluma mko very Weak (yaani ni Mapopoma watupu) kinyume na alivyokuwa Babu yenu

5. Kwa tabia zenu za Kipuuzi ndiyo maana hadi sasa hakuna hata Mmoja wenu Kateuliwa popote na Mamlaka

6. Kuna Mwenzenu Mmoja yuko Jeshini (JWTZ) yeye Kutwa ni Kulewa tu Chakari kwa Ndugu yake aishiye Mbezi Beach mita chache na kwa CDF Mstaafu General Mboma na akiwa Kazini kutwa ni Kuwatambia tu Wakubwa kuwa yeye ni Mjukuu wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere

7. Hamjitambui, Mmebweteka na Wote Mimacho yenu mmewekeza Kurithi Mali za Babu yenu huku mkipenda Kumdoea Bibi yenu (Mjane Mama Maria) Pesa zake za Pensheni na nyinginezo (kama Zawadi) anazopewa na Marafiki wa Babu yenu akina Marais Museveni, Kagame, Familia ya Mandela na Taifa la China.

Badilikeni Mnaboa na Leo GENTAMYCINE ambaye ni Mzanaki Mwenzenu na nawajueni Wote (ila nyie hamnijui na hamtonijua) nimeamua Kuwachaneni Mubashara (Live) tena katika Siku hii nzuri ya Kumbukumbu ya Miaka 24 ya Kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere.

Mimi ni Bahari huwa sikai na Uchafu.
 
4. Wengi wenu Kitaaluma mko very Weak ( yaani ni Mapopoma watupu ) kinyume na alivyokuwa Babu yenu

5. Kwa tabia zenu za Kipuuzi ndiyo maana hadi sasa hakuna hata Mmoja wenu Kateuliwa popote na Mamlaka

6. Kuna Mwenzenu Mmoja yuko Jeshini ( JWTZ ) Yeye Kutwa ni Kulewa tu Chakari kwa Ndugu yake aishiye Mbezi Beach mita chache na kwa CDF Mstaafu General Mboma na akiwa Kazini kutwa ni Kuwatambia tu Wakubwa kuwa Yeye ni Mjukuu wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere

7. Hamjitambui, Mmebweteka na Wote Mimacho yenu mmewekeza Kurithi Mali za Babu yenu huku mkipenda Kumdoea Bibi yenu ( Mjane Mama Maria ) Pesa zake za Pensheni na nyinginezo ( kama Zawadi ) anazopewa na Marafiki wa Babu yenu akina Marais Museveni, Kagame, Familia ya Mandela na Taifa la China.

Badilikeni Mnaboa na Leo GENTAMYCINE ambaye ni Mzanaki Mwenzenu na nawajueni Wote ( ila nyie hamnijui na hamtonijua ) nimeamua Kuwachaneni Mubashara ( Live ) tena katika Siku hii nzuri ya Kumbukumbu ya Miaka 24 ya Kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere.

Mimi ni Bahari huwa sikai na Uchafu.
Otherwise these is absolutely rubbish
 
Ndo changamoto ya mtu mweusi mjinga,mtu yuko radhi kuachana na context nzima ya message na kuamua kudandia typing error moja,
Mbaya zaid ukute ni mtu mzima 35+, bora hata angekua kijana wa kikanaeanza kubarehe tungesema anawashwa
Kinachoshangaza zaidi huwa nachangia Mada zingine kwa Lugha hiyo hiyo ya Kiingereza waipendayo ila huwa siwaoni wakija Kupongeza.

Kama Public Figures duniani na hata Magazeti makubwa duniani hufanya typing error na kuomba Radhi au Kurekebisha GENTAMYCINE ni nani nisikosee?

Pengine ndiyo Wajukuu ninaowanyoosha.
 
1. Matendo yenu yasiyovutia katika Jamii yanamuaibisha vilivyo Babu yenu aliyeliheshimisha Taifa hili letu

2. Mna Sifa zilizopitiliza na Ushamba mwingi kwa Kujivunia Jina la Babu yenu

3. Mnapenda Kulitambia na kulitumia vibaya Jina la Babu yenu Mitaani, katika Jamii na Maofisini

4. Wengi wenu Kitaaluma mko very Weak (yaani ni Mapopoma watupu) kinyume na alivyokuwa Babu yenu

5. Kwa tabia zenu za Kipuuzi ndiyo maana hadi sasa hakuna hata Mmoja wenu Kateuliwa popote na Mamlaka

6. Kuna Mwenzenu Mmoja yuko Jeshini (JWTZ) yeye Kutwa ni Kulewa tu Chakari kwa Ndugu yake aishiye Mbezi Beach mita chache na kwa CDF Mstaafu General Mboma na akiwa Kazini kutwa ni Kuwatambia tu Wakubwa kuwa yeye ni Mjukuu wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere

7. Hamjitambui, Mmebweteka na Wote Mimacho yenu mmewekeza Kurithi Mali za Babu yenu huku mkipenda Kumdoea Bibi yenu (Mjane Mama Maria) Pesa zake za Pensheni na nyinginezo (kama Zawadi) anazopewa na Marafiki wa Babu yenu akina Marais Museveni, Kagame, Familia ya Mandela na Taifa la China.

Badilikeni Mnaboa na Leo GENTAMYCINE ambaye ni Mzanaki Mwenzenu na nawajueni Wote (ila nyie hamnijui na hamtonijua) nimeamua Kuwachaneni Mubashara (Live) tena katika Siku hii nzuri ya Kumbukumbu ya Miaka 24 ya Kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere.

Mimi ni Bahari huwa sikai na Uchafu.
Uzi umekaa kimbea mbea kama kaandika Mange
 
Mkuu uzi huu uwafikie si tu wajukuu wa Kambarage bali "ukoo wote wa kambale" nchi hii...

Wanafamilia wa viongozi nchi hii wanajiona wao ni daraja tofauti la wanadamu wenye upendeleo kuzidi wengine...
 
1. Matendo yenu yasiyovutia katika Jamii yanamuaibisha vilivyo Babu yenu aliyeliheshimisha Taifa hili letu

2. Mna Sifa zilizopitiliza na Ushamba mwingi kwa Kujivunia Jina la Babu yenu

3. Mnapenda Kulitambia na kulitumia vibaya Jina la Babu yenu Mitaani, katika Jamii na Maofisini

4. Wengi wenu Kitaaluma mko very Weak (yaani ni Mapopoma watupu) kinyume na alivyokuwa Babu yenu

5. Kwa tabia zenu za Kipuuzi ndiyo maana hadi sasa hakuna hata Mmoja wenu Kateuliwa popote na Mamlaka

6. Kuna Mwenzenu Mmoja yuko Jeshini (JWTZ) yeye Kutwa ni Kulewa tu Chakari kwa Ndugu yake aishiye Mbezi Beach mita chache na kwa CDF Mstaafu General Mboma na akiwa Kazini kutwa ni Kuwatambia tu Wakubwa kuwa yeye ni Mjukuu wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere

7. Hamjitambui, Mmebweteka na Wote Mimacho yenu mmewekeza Kurithi Mali za Babu yenu huku mkipenda Kumdoea Bibi yenu (Mjane Mama Maria) Pesa zake za Pensheni na nyinginezo (kama Zawadi) anazopewa na Marafiki wa Babu yenu akina Marais Museveni, Kagame, Familia ya Mandela na Taifa la China.

Badilikeni Mnaboa na Leo GENTAMYCINE ambaye ni Mzanaki Mwenzenu na nawajueni Wote (ila nyie hamnijui na hamtonijua) nimeamua Kuwachaneni Mubashara (Live) tena katika Siku hii nzuri ya Kumbukumbu ya Miaka 24 ya Kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere.

Mimi ni Bahari huwa sikai na Uchafu.
Aisee
 
Back
Top Bottom