jchofachogenda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2012
- 537
- 123
Najua wengi hamuwezi kuamini kuwa babu ametibu wengi na kweli wengi wameponywa mfano mzuri ndani ya familia yangu, nina shangazi yangu alikuwa anamatatizo ya uzazi alikuwa kila akipata ujauzito ikifika miezi 4 inatoka hata akiwa total bedrest na pia alishawahi kushonewa baada ya ujazito kuingia but mtindo ni uleule, alikwenda kwa babu loliondo anashika ujauzito na kazi alikuwa anafanya kama kawaida sasa ameshajifungua mapacha na amedumu ktk ndoa yake 25yrs bila yakuwa na mtoto.
hivi wassira alikuwa anumwa nini?
Sasa hivi yuko stejini baada ya kununua vyombo vya kisasa vya muziki
sleeping sicknesshivi wassira alikuwa anumwa nini?
Babu wa Loliondo tutakukumbuka daima,umetufanya tujue mambo mengi ya nyuma ya panzia ya viongozi wetu kupitia wewe.Ahsante sana babu.