Babu wa Loliondo tutakukumbuka daima.

jchofachogenda

JF-Expert Member
Jan 8, 2012
537
123
Babu wa Loliondo tutakukumbuka daima,umetufanya tujue mambo mengi ya nyuma ya panzia ya viongozi wetu kupitia wewe.Ahsante sana babu.
 
Attachments

  • 057.JPG
    057.JPG
    14.9 KB · Views: 166
Hongera Babu Ambikile Mwasapile, Umeonesha ujanja wa hali ya juu kupiga mingo kuliko hata wajanja wa town. BIG UP!
 
Najua wengi hamuwezi kuamini kuwa babu ametibu wengi na kweli wengi wameponywa mfano mzuri ndani ya familia yangu, nina shangazi yangu alikuwa anamatatizo ya uzazi alikuwa kila akipata ujauzito ikifika miezi 4 inatoka hata akiwa total bedrest na pia alishawahi kushonewa baada ya ujazito kuingia but mtindo ni uleule, alikwenda kwa babu loliondo anashika ujauzito na kazi alikuwa anafanya kama kawaida sasa ameshajifungua mapacha na amedumu ktk ndoa yake 25yrs bila yakuwa na mtoto.
 
Kwahiyo Babu alimpa mimba eeeh? Maana sijakupata vizuri
 
Kwamba Tanzania nchi ya Viongozi Dhaifu na wagonjwa na waliokata tamaa na huduma mbovu za hospital

Back
Top Bottom