Babu alisema eti katumwa na Mungu. Ivi kuna dini ambayo haijui mtu aliyetumwa na Mungu anaitwaje? kwa mabuda wanaweza wasijue ni kwamba Waliotumwa na Mungu huitwa "Manabii(wingi) Nabii(umoja), sasa tujiulize babu ni nabii? na kama siyo nini msimamo wa KANISA juu ya babu kusema yeye katumwa na Mungu?. Pia nini msimamo wa kanisa juu ya ndoto? na napenda kujua msimamo wa kanisa juu ya dawa ya Mungu kuwa na masherti.

Yahaya Hussein wateja wake wengi ni Wakristo... Kwa sababu Waislam wanajuwa kabisa kuwa jamaa ni mushriki...!kakobe sio mungu ,na kakobe ni mkristo ila hawawikilishi wa kristo wote kimtazamo, kuhusu waisram nazani wangeanza na shkeh yahaya anaye onyesha watu mlango wa kuzimu kabla hawajamfwata babu wa watu, pia hakuna aliye walazimisha waislam kwenda kwa babu ila magonjwa yao ndio yana wapeleka hivyo nibora wasiende ili wawapunguzie foleni wale wanao amini
Yahaya Hussein wateja wake wengi ni Wakristo... Kwa sababu Waislam wanajuwa kabisa kuwa jamaa ni mushriki...!
hizi taarifa umezitoa wapi? Umetunga ? Siamini hizi statistics zako
Babu alisema eti katumwa na Mungu. Ivi kuna dini ambayo haijui mtu aliyetumwa na Mungu anaitwaje? kwa mabuda wanaweza wasijue ni kwamba Waliotumwa na Mungu huitwa "Manabii(wingi) Nabii(umoja), sasa tujiulize babu ni nabii? na kama siyo nini msimamo wa KANISA juu ya babu kusema yeye katumwa na Mungu?. Pia nini msimamo wa kanisa juu ya ndoto? na napenda kujua msimamo wa kanisa juu ya dawa ya Mungu kuwa na masherti.
Lakini maswali ameyatowa na wenye busara husema hakuna swali la kijinga bali kuna jawabula......!Kazi kwako kumjibu!huna point ya maana!!
Fatilia vipindi vyake!!hizi taarifa umezitoa wapi? Umetunga ? Siamini hizi statistics zako
Hiyo peoposss pawa inamaanisha nini? sio god power au?woga wa mashehe na wahuni kama kakobe unafahamika. Babu peoposss pawa
Waislam tunafahamu kama Yahya Hussein is nothing but Mshirikina hilo neno Shekh lisikutishe jamaa msanii tu kama wasanii wengine na wafuasi wao ni mbumbumbu wasiojielewa na wasioelewa DINI pamoja na waliopoteza dira za maisha.kakobe sio mungu ,na kakobe ni mkristo ila hawawikilishi wa kristo wote kimtazamo, kuhusu waisram nazani wangeanza na shkeh yahaya anaye onyesha watu mlango wa kuzimu kabla hawajamfwata babu wa watu, pia hakuna aliye walazimisha waislam kwenda kwa babu ila magonjwa yao ndio yana wapeleka hivyo nibora wasiende ili wawapunguzie foleni wale wanao amini
kakobe sio mungu ,na kakobe ni mkristo ila hawawikilishi wa kristo wote kimtazamo, kuhusu waisram nazani wangeanza na shkeh yahaya anaye onyesha watu mlango wa kuzimu kabla hawajamfwata babu wa watu, pia hakuna aliye walazimisha waislam kwenda kwa babu ila magonjwa yao ndio yana wapeleka hivyo nibora wasiende ili wawapunguzie foleni wale wanao amini
me nashauri kwa ndugu zangu wakristo kwa kuwa kila muumini ana dhehebu nenda kwa kiongozi wako akufafanulia ucje ukaingia dhambini. Na kwa waislam ninachokijua tiba ya mitishamba imeruhusiwa kisichotakiwa ni kwena kwa mganga apige ramli, kukupa hirizi na mambo mengne ya ushrkna yamekatazwa aliewakataza kwenda kwa babu labda sababu yake kubwa iwe ni kwa kuwa anatoa mkristo ktk micng ya ukristo. Na huyo shehe yahaya anachofanya kwenye dini mbona kinajulikana ni dhambi? Acha niwape angalizo wanajf, usichukuliwe udhaifu wa m2 ndo mkasema ndo dini isemavyo hata km huyo m2 atakuwa kiongozi wa dini.kakobe sio mungu ,na kakobe ni mkristo ila hawawikilishi wa kristo wote kimtazamo, kuhusu waisram nazani wangeanza na shkeh yahaya anaye onyesha watu mlango wa kuzimu kabla hawajamfwata babu wa watu, pia hakuna aliye walazimisha waislam kwenda kwa babu ila magonjwa yao ndio yana wapeleka hivyo nibora wasiende ili wawapunguzie foleni wale wanao amini