Babu wa loliondo ayachanganya makanisa.

Kitu kikubwa kinachowaumiza kichwa kina Kakobe pamoja na wamiliki wengine wa Makanisa makubwa hapa Tanzanani ni nguvu kubwa kutoka kwa Babu wa Loliondo, hii hali idadi ya waumini wa Kikristo kumiminika kwa wingi Loliondo kupata dawa, siku Babu pamoja na wasaidizi wake wakiamishia shughuli zao hapa Dar es salaam wakafungua Kanisa, basi Kakobe na wenzake watakuwa kwenye wakati mgumu sana
 
Back
Top Bottom