"Hapa Arusha KILA HOSPITALI IMEPOKEA WATU WA MAGONJWA YA PRESHA, KISUKARI, PUMU, N.K. AMBAO WALIKWENDA LOLIONDO "KUTIBIWA" MARADHI HAYO NA BAADA YA KUPATA "NAFUU" (PSYCHOLOGICAL) KWA KAMA WIKI MBILI TU WAMEANZA KUUMWA SERIOUSLY NA KURUDIA DAWA ZAO ZA HOSPITALI TENA.
Pili, mimi nikiwa mfanyakazi wa maabara ya hospitali ya MT Meru, sijaona hata mgonjwa mmoja wa ukimwi aliyepata "seroconversion" yaani kurudi "seronegative from serpositive status". Kinachosikitisha ni kuwa kuna watu hawataki kabisa kusikia yanayosemwa na madaktari na wafanyakazi wa hospitali mbalimbali hapa Arusha ambao kila siku tuna-deal na watu wanaozidiwa baada ya kwenda Loliondo.
Mbaya zaidi kuna magazeti, tv na redio hayataki kabisa kusikia ukweli wa majanga yaliyowafika watu waliokwenda huko. Ajabu pia ni kuwa kuna watu ambao ukitaka kuwaeleza ukweli wanakuona wewe ni mpagani usiyemwamini Mungu. Naomba waandishi wa habari wawe proactive katika kutafuta ukweli na si kutegemea mass hysteria iliyowakumba maelfu ya watu wanaotafuta miujiza kwa nguvu."
Source: MJENGWA - Picha, Habari & Matangazo: Kama Haya Ni Ya Kweli: Tiba Ya ' Babu' Na Ushuhuda Wa Kimaabara
Hogwash, the whole religiosity drama and it's rituals are nothing but a silly attempt of man to adopt a grandiose psychology towards life, and avoid the fact that we are a chance happenning in an unimportant corner of a vast godless universe.
There is nothing supernatural, and even that which appears so, appears so due to the poverty of our minds.

i find such statements to be seriously weak. Can science even explain what 'life' is in its simplicity and yet complex structure? Can science create 'life' out nothing or basic elements. All they do is understand the material build up of life, but not life itself.
Hogwash, the whole religiosity drama and it's rituals are nothing but a silly attempt of man to adopt a grandiose psychology towards life, and avoid the fact that we are a chance happenning in an unimportant corner of a vast godless universe.
There is nothing supernatural, and even that which appears so, appears so due to the poverty of our minds.
Why people die....?
The answer to this question 'll lead to another question(if u go down to cell ,DNA....)..which is again "why"but this time no answer yet.
The law of physics says ,there is no infinity chain of force...it must be force which is source all force,also there is no infinity chain of events.....
There is a source of universe name it whatever you wanna name .
Kiranga nenda Loliondo kapate kikombe. mwambie na mwenzio Blue ray. huyu alipotelea wapi?
Babu's placebo effect at work
Kiranga tiba ya Babu ni mambo ya "Willpower" on oparative at it best. Kinachoponyesha au kuleta nafuu sio kikombe bali ni the faith behind Babu inayo open up the powers from within na kukupa nafuu.Hogwash, the whole religiosity drama and it's rituals are nothing but a silly attempt of man to adopt a grandiose psychology towards life, and avoid the fact that we are a chance happenning in an unimportant corner of a vast godless universe.
There is nothing supernatural, and even that which appears so, appears so due to the poverty of our minds.
u
Kiranga tiba ya Babu ni mambo ya "Willpower" on oparative at it best. Kinachoponyesha au kuleta nafuu sio kikombe bali ni the faith behind Babu inayo open up the powers from within na kukupa nafuu.
Tiba hiyo ni "Faith Healing" huwezi kuileta kwenye vipimo vya kisayansi. Haya ni mambo ya PSI (ParapSychology Inspiration) science haioni ndani, its beyond that.
Huo ndio ukweli ambao baadhi ya WATANZANIA hawataki kuusikia, na ukisemwa wanatamani kupasuka kwa ghadhabu."Hapa Arusha KILA HOSPITALI IMEPOKEA WATU WA MAGONJWA YA PRESHA, KISUKARI, PUMU, N.K. AMBAO WALIKWENDA LOLIONDO "KUTIBIWA" MARADHI HAYO NA BAADA YA KUPATA "NAFUU" (PSYCHOLOGICAL) KWA KAMA WIKI MBILI TU WAMEANZA KUUMWA SERIOUSLY NA KURUDIA DAWA ZAO ZA HOSPITALI TENA.