Babu wa Loliondo akipotea ghafla

amba.nkya

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
446
131
Imagine, Babu wa Loliondo akapotea ghafla na kwenda kusikojulikana na kuacha ujumbe kwamba "Nimegundua hiyo dawa ni sumu ambayo huua baada ya miezi 6 maana wanangu 3 wamekufa kwa mkupuo, kwa kuwa wao ndio walianza kunywa kwa majaribio, nimeamua kutoweka kuogopa kipigo kutoka kwa wananchi wenye hasira kali" Je, nini kitatokea ndani na nje ya Tanzania?
 
bora iwe inaua, ikiwa inatia uchizi usiotibika, maaskofu, wanasiasa, wafanyibiashara, watawala....!!!????
 
Kwanza tungekuwa hatuna viongozi kuanzia mkuu wa kaya mpaka balozi wa house ten ten,halafu sipati picha hao wa kiroho ingekuwaje?
 
vp akiacha ujumbe kuwa ambao hawajanywa watakufa baada ya miezi sita?
 
Raisi kikwete atakuwa na kazi ngumu ya kuteua tena waziri mwingine wa nishati na madini, waziri wa maliasili na utalii, wakuu wa mikoa ya Mwanza na shinyanga. Naona chama cha NCCR watafanya uchaguzi wa m/kiti mpya.
 
Back
Top Bottom