Usifanye utani, watu wanaumwa. Bahati mbaya ni vigumu kulinganisha ulivyo vitaja, ila ktk mazungumzo ya kawaida Babu yuko juu kwa sasa,kwa sababu wajanja/werevu/wasomi/mabingwa yaani kila tabaka liko kwa babu, kwa namna moja ua nyingine.
Hata sisi tuliomtandaoni sasa na kujadili hii maada tuko kwa babu, si umeona hata Jenerali na yule polisi mkubwa wa zamani naye kwa babu!!!!