mpita-njia
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 1,736
- 1,620
Jibu la mzaramo typical. [emoji1] [emoji1]ananyonywa Diamond wa Tandale wewe wa mbagala inakuuma nn?!
Jibu la mzaramo typical. [emoji1] [emoji1]ananyonywa Diamond wa Tandale wewe wa mbagala inakuuma nn?!
Hili ndio jibu la Uzi wote.Ilikuwa Clouds sasa Babu Tale!!
Mwana FA aliwahi kusema badala ya kutumia nguvu nyingi kututajia wanaotunyonya nyie tutajieni wasiotunyonya tuwafate lakin wawe na viwango bora vya kazi kama vya wanyonyaji.
Mkuu hongera sana kwa kufuatiria wasanii wetu ukweli utabaki palepale Mkubwa na wanawe big up Babutale kazi tu, kazeni buti vijana wetu wana wahitaji msife moyo. Wenye akili hatuambiwi tazama. Hongera Mondi na and your co.Leo Diamond ana kwake Tegeta Madale, gari sijui BMW X6 , mwanzoni alikuwa amepanga Sinza alikuwa Na Land Cruiser Prado, kafungua Studio yake Sinza Mori.
Yamoto Band bado ni wadogo kisanaa, Lakini ebu linganisha wasanii wenye umri mdogo waliowahi kupata umaarufu na vitega uchumi walivyonavyo. Dogo Amidu, Young D, Mr Blu, Dogo Janja Na wengine nini walipata?
Ila kiroboto nae baada ya kuachana nao si unaona mwendo wake? Anatembea na kidumu cha mafuta, speedometer haisomi!Nimejaribu kufuatilia interview za utambulisho wa wasanii wa walio chini ya Babu tale na mkubwa Fela nimegundua hawa jamaa wanyonyaji sana na wanaishi na wasanii chipukizi kwa kuwatia hofu ili waone bila wao hakuna future ya mziki wao.nimeshangaa kuona Babu Tale akihojiwa na EFM na kusema mpaka leo Diamond anamwamkia .sijajua connection ya kumwamkia na mafanikio ya Diamond.kweli hawa watu wawili ni adui wakubwa sana wa mziki wa vijana wa kitanzania .sasa nimeelewa kwa nini Kiroboto a.k.a Juma nature aliamua kuaachana na hawa kupe.