Chid Benz a.k.a chuma, ambae hivi karibuni afya yake imeshtua wadau wengi wa muziki na hata wale wasio wadau, kutokana na kudhoofika sana jambo ambalo kwa kiasi kikubwa limechangiwa na utumiaji wa dawa za kulevya.
Mkali huyu wa "Dar es salaam stand up", alikiri na kuonesha majuto, na kuonesha nia thabiti ya kubadilika, hivyo kutaka msaada wa wadau mbali mbali.. Hatimaye msaada huo umewasili.
Hamis Tale au Babu Tale amejitokeza na kuonesha nia ya kumsaidia Chid benz, katika ukurasa wake wa Instagram amepost video clip anamuonesha akiwa yeye na Chid na kuandika caption inayoonesha dhahiri anayo nia ya kumrudisha chid kwenye mchezo.
Natumai huyu jamaa atabadilika kweli this time.
Unachosema kina ukweli ndani yake. Hawa jamaa wanahisi wana-own mziki wa bongo, yani bila wao hutoki.Tale nae ni kizabizabina tu,tena si yeye pekee pamoja na fella na ruge hawa watu wanajifanya wao ndo incharge wa mziki hapa bongo walionavipaji na wanaweza kujitetea wanawakandamiza,wasioweza ndo wanataka wasikike kama Ally nipishe na rubi najionea fujo tu,ndo mana siku ya msiba wa ngwair JMO na P funk walichukizwa na wale wanajifanya wataileta maiti ya ngwair kwa uwezo wao wakati ngwair alipendwa na watanzania wengi na angeweza kuchangiwa maiti yake ikarudishwa,kumbe ni kama wanamlipa mshahara marehemu,sasa nadhani tale na washkadau wenzake wanataka kumlipa marupurupu yake chid,UBINADAMU UMEKWISHA KWELI.
Tale nae ni kizabizabina tu,tena si yeye pekee pamoja na fella na ruge hawa watu wanajifanya wao ndo incharge wa mziki hapa bongo walionavipaji na wanaweza kujitetea wanawakandamiza,wasioweza ndo wanataka wasikike kama Ally nipishe na rubi najionea fujo tu,ndo mana siku ya msiba wa ngwair JMO na P funk walichukizwa na wale wanajifanya wataileta maiti ya ngwair kwa uwezo wao wakati ngwair alipendwa na watanzania wengi na angeweza kuchangiwa maiti yake ikarudishwa,kumbe ni kama wanamlipa mshahara marehemu,sasa nadhani tale na washkadau wenzake wanataka kumlipa marupurupu yake chid,UBINADAMU UMEKWISHA KWELI.
Point..Tale nae ni kizabizabina tu,tena si yeye pekee pamoja na fella na ruge hawa watu wanajifanya wao ndo incharge wa mziki hapa bongo walionavipaji na wanaweza kujitetea wanawakandamiza,wasioweza ndo wanataka wasikike kama Ally nipishe na rubi najionea fujo tu,ndo mana siku ya msiba wa ngwair JMO na P funk walichukizwa na wale wanajifanya wataileta maiti ya ngwair kwa uwezo wao wakati ngwair alipendwa na watanzania wengi na angeweza kuchangiwa maiti yake ikarudishwa,kumbe ni kama wanamlipa mshahara marehemu,sasa nadhani tale na washkadau wenzake wanataka kumlipa marupurupu yake chid,UBINADAMU UMEKWISHA KWELI.
Pm tafadhaliNimekupenda bure tu, hata sjui kwa nini jmn...!.
Lol.
Hua ningumu sana kurudi" ngumuuMziki ukipata nafasi ukaichezea ndio bhasi huyo jamaa hawezi kurudi tena kwenye peak milele milele Amina....
apambane kurudisha afya inawezekanaHua ningumu sana kurudi" ngumuu
Hahahaaaapambane kurudisha afya inawezekana
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahahaaa