Prisoner of hope
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 2,443
- 2,567
Marehem kawatoa wote haohuyo immature manager ndio kamfikisha diamond alipo...nioneshe mature manager unayemfahamu wewe na msanii wake?
Sio hapo tu,ukipitia ukurasa wake wa insta utashangaa.ila ndio hivyo bora ana vihela.Manager anaandika izi badala ya hizi,anaweza kuuchambua mkataba wa msanii wake Kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaonana na nan sasa wewe magulumbataMpoto ni shida kaamsha hisia za watu wakaanza upya kuomboleza
Ruge alikuwa wa kipekee sio kwa umati ule nilioshuhudia pale gymkhana
Haters ni ruhusa muendelee na chuki zenu Ruge kahitimisha safari yake hapa duniani
Tutaonana baadae
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani sasa alie kwa mwajuma ndala ndefu kama weweKilaza kama wewe huwezi kuelewa umeumbuka unaanza kutukana ovyo
Matusi nayajua kazana kunichokonoa lakini nikutahadhalishe tu usije anza kulia lia
Sent using Jamii Forums mobile app