Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Babu Anawahadithia Wajukuu Zake Hadithi
Babu: Tulipokuwa Vitani Tulitekwa Na Maadui, Nusu Yetu Waliuwawa Na Nusu Nyingine Walibakwa.
Wajukuu: Babu Kwa Hiyo Wewe Ulikuwa Kundi Gani?
Babu: Nani?
Wajukuu: Wewe!
Babu: Nani? Mimi.... Mimi... Niliuwawa!