Technology
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 769
- 284
Hivi Serikali imefanya initiative zozote kumpima akili Mchungaji Mwasapile na je ni mtu anaetumia madawa ya kulevya au laa. Ni hatari saana kumuacha aendelee na huo mchezo wa kuwapa watu dawa ambayo inaweza kuja kuathiri afya za watu

Sasa achunguzwe akili babu...au watu wanaomfuata kupata kikombe.
babu apimwe akili , Paka Jimmy umeskiaSmellie smelling thread!
Hakuna hata pumba kwny hii thread, maana pumba zina faida ya kulisha nguruwe!
Kama una wajukuu wahi nyumbani ukacheze nao!
sipati picha siku ikijulokana babu alikuwa na matatizo ya akili hhahahaahaaaaah!
Kwani jamani Loliondo mmelazimishwa kwenda? Si nyie wenyewe ndiyo magonjwa yenu ndiyo yanayowapeleka kwake, yeye ameshasema hakubandika bango popote pale ila ni uponyaji wake! Hakuna sababu ya kumpima akili, ila kama utaki usiende.
Mtoa mada ameongea kitu hapa, nimesikiliza taarifa ya habari ya ITV saa mbili, babu alihojiwa kuhusu watu wengine kutoa vikombe, majibu yake yalinipa picha kuwa babu amekaa kibiashara zaidi. Yeye si mtu wa kwanza Tanzania kuanzisha mitishamba, hivyo kitendo cha kuwakemea watoa vikombe wengine tena kwa lugha ya vitisho kote huku ni kujihami kulitetea soko lake.
Wengi watakana kuwa hawakunywa dawa ya babu.sipati picha siku ikijulokana babu alikuwa na matatizo ya akili hhahahaahaaaaah!
Chuki binafsi hata vyombo vya habari jamaa asikilizi?wakati serikali ishatoa kauli yake juu ya dawa ya babu!TFDA,NMRI Wameishasema na wakasema huo mti wa dawa nisumu kweli ila kwakuchanga na dawa nyingine sumu hakuna!!Smellie smelling thread!
Hakuna hata pumba kwny hii thread, maana pumba zina faida ya kulisha nguruwe!
Kama una wajukuu wahi nyumbani ukacheze nao!