Naona mpo jikoni mnapika na kupakua. Mtauana sana mwaka huu.October huyu Babu yenu atakuwa kitandani
Naona mpo jikoni mnapika na kupakua. Mtauana sana mwaka huu.
Hatari sana
Kuna watu huku JF wako jikoni kabisa
Je baada ya kumuua Babu Ayubu nani anafata ?.Lugha za bara kwetu mtihani. Jikoni kunani
Je baada ya kumuua Babu Ayubu nani anafata ?.
Kwahiyo kifo cha babu ayubu kimesababishwa na nini ?.Wabara ndio wauaji.
Mwauana wenyewe Kwa wenyewe mwasingizia siye waungwana
Na kusikia mengi !Tutaona mengi