ayubu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mke wa Ayubu kwenye biblia hakuguswa kabisa na shetani?

    Hili swali huwa najiuliza sana. Kwanini shetani hamkugusa kabisa mke wa Ayubu? Ikumbukwe shetani aliua hadi watoto wote wa Ayubu lakini mke hakuguswa kabisa. Shetani huwa ana double standards kwenye kazi zake?
  2. Lord Diplock MR

    JamiiForums Tanzania Kushangilia kifo cha Ayubu hakumuudhi wala kumkera Belshaza, maana Ayubu hakuwa mtu wake

    Nimeona wananchi wengi wakishangilia kifo Cha Ayubu (Job) Kama njia ya kumkera na kumuudhi Belshaza (Mtawala). Niwakumbushe kuwa hata huyo Ayubu alijiuzuru kwenye nafasi yake baada ya kukosana na Belshaza. Kwahiyo tangu hapo Ayubu na Belshaza hawakupikika chungu kimoja. Kwahiyo kushangilia...
  3. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Babu Ayubu wenu ametema bungo na bado

    Na Bado! Oktoba tunanayo! Mlimuamini Babu Ayubu kama komandoo, kiko wapi lelo? Mwadhani yeye tu ndo ajua kucheza mashoati? Haya kimemramba! Alizowea kuwatia mjini kwa madevu, nyinyi walugaluga mkadhani mtu wa visiwani hatuwezi? Mshatufahamu sasa, sisi ndiyo tumesimama kwenye usukani. Apigie...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Kijasusi.CHANZO NI YEYE

    Sura ya Kwanza: Dar es Salaam ilikuwa ni jiji liliojaa uhai. Kila kona ilikuwa na harufu ya bahari, kelele za magari, na kelele za biashara za mtaa. Mtaa wa Majengo ulikuwa ni jiji ndogo lenyewe, ambapo Ayubu aliishi. Alikuwa ni kijana mwenye umri wa miaka ishirini na tatu, aliyeishi maisha ya...
Back
Top Bottom