Babu Ayubu wenu ametema bungo na bado

Babu Ayubu wenu ametema bungo na bado

Hata Lumumba buku 7 hawana akili hiyo
 
Kati ya kitu Nyerere alikosea ni kujiunga na Zanzibar
Kilichomfanya atake kuimeza zanzibar ni hofu ya dini tu,ukiacha hofu za mabeberu (wenye muungano) kuhofia zanzibar kuwa Cuba ya afrika mashariki
 
Na Bado! Oktoba tunanayo!

Mlimuamini Babu Ayubu kama komandoo, kiko wapi lelo? Mwadhani yeye tu ndo ajua kucheza mashoati? Haya kimemramba! Alizowea kuwatia mjini kwa madevu, nyinyi walugaluga mkadhani mtu wa visiwani hatuwezi? Mshatufahamu sasa, sisi ndiyo tumesimama kwenye usukani. Apigie simu maswahiba wake wamemgeuka! Tumebonyeza kitufe kimoja tu, kazua mayowe. Ehee! Je tukibonyeza matunzi yake? Halaa!

DJ wawekee wimbo wa Kapteni Komba, Mmeyataka wenyewe ndindi...
Wewe ndiyo unakosea sana, kuna sisi moderate yaani watu wakati, mguu upande, unafikiri kudharau watu wa Tanganyika tunafurahi? Una akili kidogo sana, wewe endelea tu kubwabwaja eti nyie waZanzibar. Mko wangapi huo mkoa?
 
Na Bado! Oktoba tunanayo!

Mlimuamini Babu Ayubu kama komandoo, kiko wapi lelo? Mwadhani yeye tu ndo ajua kucheza mashoati? Haya kimemramba! Alizowea kuwatia mjini kwa madevu, nyinyi walugaluga mkadhani mtu wa visiwani hatuwezi? Mshatufahamu sasa, sisi ndiyo tumesimama kwenye usukani. Apigie simu maswahiba wake wamemgeuka! Tumebonyeza kitufe kimoja tu, kazua mayowe. Ehee! Je tukibonyeza matunzi yake? Halaa!

DJ wawekee wimbo wa Kapteni Komba, Mmeyataka wenyewe ndindi...
Je wajua hao waliomgeuka imekuwaje wamgeuke bila ninyi kuji'tune'?Tutajuaje...Tusubir tuone kesi.
Kuhusu 'walugaluga' incase elimu yako ni ndogo..Walugaluga walikuwa 'wanajeshi hatari wa kuogopwa na waliwapiga wajerumani--wanajeshi hawa walikuwa wa mtemi Milambo na hata MKWAWA aliwakodi'.Get your facts right.
 
Na bado
 
Kama
Babu ayub
Slow slow
Katelephone
Miplan
Mnawapumzisha bado nani yule prof bashir sijui means kambi ya mapedlock inauliwa yote.
Then mizizi ya wale vijana wa town wa 95 inarudi rasmi.
 
Na Bado! Oktoba tunanayo!

Mlimuamini Babu Ayubu kama komandoo, kiko wapi lelo? Mwadhani yeye tu ndo ajua kucheza mashoati? Haya kimemramba! Alizowea kuwatia mjini kwa madevu, nyinyi walugaluga mkadhani mtu wa visiwani hatuwezi? Mshatufahamu sasa, sisi ndiyo tumesimama kwenye usukani. Apigie simu maswahiba wake wamemgeuka! Tumebonyeza kitufe kimoja tu, kazua mayowe. Ehee! Je tukibonyeza matunzi yake? Halaa!

DJ wawekee wimbo wa Kapteni Komba, Mmeyataka wenyewe ndindi...
Chomoa hicho ulichokalia kwanza
 
Back
Top Bottom