Babu Ayubu wenu ametema bungo na bado

Babu Ayubu wenu ametema bungo na bado

Spuka mstaafu mzee Jobo maji ya shingo yamemfika, itakuwa alitaka kutema cheche kama za slow slow
 
All in all ushawishi wa huyo mgombea wenu still ni mdogo mno
 
Na Bado! Oktoba tunanayo!

Mlimuamini Babu Ayubu kama komandoo, kiko wapi lelo? Mwadhani yeye tu ndo ajua kucheza mashoati? Haya kimemramba! Alizowea kuwatia mjini kwa madevu, nyinyi walugaluga mkadhani mtu wa visiwani hatuwezi? Mshatufahamu sasa, sisi ndiyo tumesimama kwenye usukani. Apigie simu maswahiba wake wamemgeuka! Tumebonyeza kitufe kimoja tu, kazua mayowe. Ehee! Je tukibonyeza matunzi yake? Halaa!

DJ wawekee wimbo wa Kapteni Komba, Mmeyataka wenyewe ndindi...
Samia mwisho wake ni huu , Hana namna nyingine ya kumsaidia kuuvuka Huu mwaka .
 
Back
Top Bottom