Hio dini yako ni ipi!
Ile ya kujamiiana na mtu yyt ktk familia!
Au ile ya kuchinja mtoto ili kuondoa balaa!
Au ile ya kuimba uchi kwenye njia panda! Hebu tutajie hio dini yako nzuri!
Hio dini yako ni ipi!
Ile ya kujamiiana na mtu yyt ktk familia!
Au ile ya kuchinja mtoto ili kuondoa balaa!
Au ile ya kuimba uchi kwenye njia panda! Hebu tutajie hio dini yako nzuri!
Bila Shaka Rafiki Yangu kahtaan wanifahamu uzuri mpk nyumbani Kwetu kuleeeeee Nation House!
Sasa ninaswali jepesi Pamoja na Kua Andiko lansumbua na sheria sizifahamu km ulivyo sema! Hiyo sheria ni ya Musa Au ya Mungu?
Hakuna kitu kinaitwa SHERIA YA MUSA!
Na wewe unajua fika kuwa Musa sio Mungu wa kupangia sheria binaadamu!
Tumeyajadili haya mara nyingi lkn kama kwaida yako Ntuzu unaanza kupindisha tena!
sure!!Kuna mengi sana....movie linaendelea
Mkuu, ukinisaidia kwa kunitajia vitabu husika nitashukuru, maana kama ni vitabu tu si haba uvivu sina wa kusoma vitabuHaina muongozo wa "mungu" Bali wa "Mungu'
Ukipata muda soma vitabu utapata majibu ya maswali yako
Ntuzu na kusoma kwako hujui maana ya adhabu!!!!
Na serikali za wanadamu kupitia pope kwani ndio kiongozi wenu kiimani.
BabuKasisi kalawiti wanawe
Adhabu
Ni kichocheo kinacho tolewa ili kufuta tendo
au mwitiko ambao hakubaliwi au si mzuri
kwa mtazamo wa jamii.
Swali moja majibu miatano kidogo. Unataka kumsemea ustaadh firauni, jisemee wewe na nafsi yako.Naona kinakuuma hadi unaleta kashfa. Hahahahahahaa...a dini za kuletewa zinavyowatesa. Sijapata skia dini ZETU zikihusishwa na mauchafu kama mliyorithi toka kwa wazungu na waarabu.
Mkuu hatari sana yaani kasisi anazama mtaroniUnapotoa adhabu unamaanisha kutoa fundisho Si ndio?
Mkuu hatari sana yaani kasisi anazama mtaroni
Mkuu ntuzu adhabu nimeanza kutoa mimi au aklianza kutoa Mungu.mbona unanivisha vyeo sio vyangu
which religion in the world is complete and from what angle?explain..christianity is incomplete,thats way shit continous
punishment is the authoritative imposition
of something undesirable or unpleasant
upon an individual or group, in response to
behaviour that an authority deems
unacceptable or a violation of some norm.