Babershop inauzwa

Dharafu

Member
Dec 24, 2020
48
74
Barbershop inauzwa

Habarini ndugu wanaJamvi!

Ningependa niende moja kwa moja kwenye mada, barbershop iliyopo Goba inauzwa ikiwa na vitu vyake vyote ambavyo vinatumika barbershop ikiwemo viti maalumu vya barbershop, na vifaa vyote vya barbershop vipo
Masofa, rotating taa za nje, bango kubwa la 3D, steamers, warmers, sterilizer na vingine vyote

Condition: vimetumika kwa muda Wa miezi sita tu tangu kununuliwa na kufunguliwa kwa barbershop


Reason: anahama

Mwenye interest karibu

Call 0674 824 123
 

Attachments

  • 20230204_114626.jpg
    20230204_114626.jpg
    102.4 KB · Views: 10
  • 20230208_225752.jpg
    20230208_225752.jpg
    166.5 KB · Views: 4
  • 20230208_225746.jpg
    20230208_225746.jpg
    202.1 KB · Views: 6
  • 20230208_225736.jpg
    20230208_225736.jpg
    212.7 KB · Views: 8
  • 20230208_225658.jpg
    20230208_225658.jpg
    344.4 KB · Views: 9
  • 20230208_225647.jpg
    20230208_225647.jpg
    231.7 KB · Views: 8
  • 20230208_225654.jpg
    20230208_225654.jpg
    196.1 KB · Views: 5
  • 20230208_225641.jpg
    20230208_225641.jpg
    293.9 KB · Views: 7
  • 20230208_225620.jpg
    20230208_225620.jpg
    221.5 KB · Views: 7
  • 20230208_225557.jpg
    20230208_225557.jpg
    180 KB · Views: 7
  • 20230208_225636.jpg
    20230208_225636.jpg
    185.8 KB · Views: 6
  • 20230208_225752.jpg
    20230208_225752.jpg
    166.5 KB · Views: 8
  • 20230208_225806.jpg
    20230208_225806.jpg
    192.9 KB · Views: 6
  • 20230219_210531.jpg
    20230219_210531.jpg
    294 KB · Views: 6
Kwanini salon nyingi zinafungwa baada ya kufunguliwa
Ishu kubwa location haina mzunguko, alafu kumbuka kinyoz ndo analeta wateja wake, kuna kinyozi anawateja anahama nao 😂, sasa wengine wanakurupuka lazima warudishe mpira kwa kipa,

Mtu anawekeza pesa ndefu alafu kwa anapata wateja watatu,, unategemea atawalipa nn wafanyakazi😂,
 
Ishu kubwa location haina mzunguko, alafu kumbuka kinyoz ndo analeta wateja wake, kuna kinyozi anawateja anahama nao , sasa wengine wanakurupuka lazima warudishe mpira kwa kipa,

Mtu anawekeza pesa ndefu alafu kwa anapata wateja watatu,, unategemea atawalipa nn wafanyakazi,
Na saloon yenyewe ilipo ss na mazingira yake n mazuri tu aiseé ,changamoto pale n wateja maana Kwa jiran yake Kuna salon nayo Kali sana na ishajibrand (Lalata)
 
Kwanini salon nyingi zinafungwa baada ya kufunguliwa
Hii Biashara ngumu sana...ni rahisi kudanikiwa na kufeli hivyohivyo...Mfano,kama una kinyozi maarufu ,ikatokew akaondoka anatahamana wateja.Hii hupekea Mmilikinkuwa Mtumwa wa Mfanyakazi! Hapo kupigwa njenje! Bahati mbaya ktk Rasilmali Watu illoyojaa Wahuni na Wenye utoto ni Vinyozi!
Lakini ukibahatika,ukapata Vinyozi Wazuri,location nzuri...Hela njenje! Kama mwenye mali unanyoa mwenyewe hapo utatoboa.
 
Hii sekta naifahamu vizuri kiasi. Kuwekeza hii biashara ni risk moja kubwa sana. Kupata (kuajiri) kinyozi mzuri ni ngumu sana. Kwa kawaida kinyozi mzuri hawezi kukubali kuajiriwa kwa kupeleka hesabu kwa boss kila week hata siku moja. Hata kama Hana mtaji atafungua kigoli chake cha kiti kimoja na kioo then apige kazi kwakuwa tu anajua tayari ana wateja wake ambao huwa anahama nao. Nmeshuhudia wengi mno.
So mwekezaji anabaki na Vimeo visivyojua kazi mwishoe hesabu haipatikani biashara inafungwa
 
Mwamba kaomba wateja wa vitu au salooni nazani ila wadau wanadiscuss mambo nje mada kabisaa.....kuhusu failure in business it's normal regardless umefanya risk management kiasi gani...hata kina elon wana failed project pia tena sio moja wala mbili tena za mkwanja mrefu!
 
Hii Biashara ngumu sana...ni rahisi kudanikiwa na kufeli hivyohivyo...Mfano,kama una kinyozi maarufu ,ikatokew akaondoka anatahamana wateja.Hii hupekea Mmilikinkuwa Mtumwa wa Mfanyakazi! Hapo kupigwa njenje! Bahati mbaya ktk Rasilmali Watu illoyojaa Wahuni na Wenye utoto ni Vinyozi!
Lakini ukibahatika,ukapata Vinyozi Wazuri,location nzuri...Hela njenje! Kama mwenye mali unanyoa mwenyewe hapo utatoboa.
Mkuu umetisha! Umepiga humo humo
 
Back
Top Bottom