MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 561
Mwingine kanipigia cm sasa hivi yuko chuo,eti 'baby unajua sijala hadi sasa hivi?'....sasa nimjibu nini?!
hahaha mkuuMi kama hao napoteaga kama nyoka msituni na sirudi tena
hahahaaaah....chukua likemwambie akale, awahi cafeteria
Mwingine kanipigia cm sasa hivi yuko chuo,eti 'baby unajua sijala hadi sasa hivi?'....sasa nimjibu nini?!
teh teh halafu kamezoea ujue?hahahaa c unamwambia akale ugali nyama ndo atashiba vizuri...simple!!
Mwingine kanipigia cm sasa hivi yuko chuo,eti 'baby unajua sijala hadi sasa hivi?'....sasa nimjibu nini?!
Umeamua unitangaze?
"Babe unaweza kuniletea
popcorn...babe i want to
go movie kesho...babe on
saturday i need to go
swimming...babe in the evening
lets go
Marrybrown..."
heeeee
Mungu wee hawa
wasichana wa Kimarekani
waliokosea njia wakazaliwa bongo
fanya mpango wote wapate viza
wakaishi Marekani utuondolee
usumbufu.
hahahaa c unamwambia akale ugali nyama ndo atashiba vizuri...simple!!
Ndo wanaharibu swaumu
ukitaka kuogelea maji marefu shurti ujue kuyaoga sasa we wataka vitu sio saizi yako kisha wajilizaliza kha!