Babati, Manyara: Mbaroni akituhumiwa kumuua aliyemfumania akizini na mkewe

Ulichokisema ni kweli kabisa,wasichana wengi wana date na wanaume waliowazidi umri

But asiwe mkubwa sana kwako,mfano wewe una 20 unaolewa na Babu wa miaka 70! Hapo hapana! Wewe una 20 basi mme wako awe na 30 au wewe 25 Mme wako awe na 30 sio mbaya sana!
Yes mkuu hii nzuri sana asee
 
No inawezekana anapeleka moto vizuri tu..
Ila tamaa za hao wazinzi ..

Binafsi niko kwenye age ya primary kijana but sipendi uhusiano na the same age coz huwa wana mambo ya kingese sana..

Mwanaume ambae kakuzidi kila kitu anakuwa anajua kuhandle mwanamke, na wana true love

Sasa the same age full wenge, kukudhalilisha, hajui kucare mwanamke zaidi ya kitombo cha kuunguza maku moto tu, eti hapo kamaliza
Hahahahahaaaa dahhh!...
 
Kama ni kweli aliweka mtego, ana kesi iko hapo..... ukiweka mtego maana yake una dhamira, huyo mume alikuwa na "malicious aforethought". Hiyo ni murder.
Nani sasa hataisibitishia mahakama kuwa aliweka mtego wakumkamata mgoni wake
 
Mkuu kesi ipo! Atafungwa kwa kosa la kuua bila kukusudia ambayo adhabu yake ni kufungwa maisha! Na kama angeua kwa kukusudia hapo Kitanzi kingemhusu.
kuua bila kukusudia hukumu yake huwa haizidi miaka 7,kuua kwa kukusudia hukumu yake huwa ni kufungwa maisha au kunyongwa
 
Kama ni kweli aliweka mtego, ana kesi iko hapo..... ukiweka mtego maana yake una dhamira, huyo mume alikuwa na "malicious aforethought". Hiyo ni murder.
Ila bado ana uwezo wa kujitetea maana mke wa mtu saa kumi usiku haupo ndani na mume alimuacha ndani atakuwa ameenda wapi?
 
Back
Top Bottom