TANZIA Babake Joshua Nassari afariki dunia

TANZIA Babake Joshua Nassari afariki dunia

Kofia ya "upinzani" ilimbeba jimboni kwake.

CCM wana tabia ya kuangalia anayekubalika field zaidi ya yule anayeshinda kura za maoni.

..Joshua Nassari alipata ushindi wa tsunami kura za maoni za Ccm.

..Yaani kamsambaratisha vibaya mpaka jamaa aliyechukua jimbo baada ya yeye kufukuzwa na Ndugai.

..Jambo hilo limenifikirisha sana.
 
Huyu dogo ameharibu sana career yake kisa tamaa za pesa za CCM. Muda si mrefu sana yeye na Katambi watapotea kabisa. Mark my word!
Sangwenya mpiga ramli msibani, huenda una changamoto kubwa zaidi nafsini mwako dhidi ya maisha ya wengine.

Politics is dynamic in nature globally, unless wewe ni kibwengo mvamizi katika siasa hali ya kua ni mtaalamu mwandamizi katika ufungaji kuku 🐒
 
..Joshua Nassari alipata ushindi wa tsunami kura za maoni za Ccm.

..Yaani kamsambaratisha vibaya mpaka jamaa aliyechukua jimbo baada ya yeye kufukuzwa na Ndugai.

..Jambo hilo limenifikirisha sana.
Kumbe.....

I wish Chadema wangesimamisha mgombea mwingine ndio tungeijua vizuri nguvu ya Nassari jimboni kwake.
 
Kumbe.....

I wish Chadema wangesimamisha mgombea mwingine ndio tungeijua vizuri nguvu ya Nassari jimboni kwake.

..kipindi Joshua Nassari yuko Chadema aliwarekodi kisiri viongozi wa Ccm waliokuwa wakigawa fedha kwa madiwani wa Chadema ili waachie nafasi zao.

..Video za Nassari zilifikishwa Takukuru lakini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa dhidi ya wahusika.
 
Lissu mpuuzi sana. Ukimfuata hata kwa maongezi ya kawaida lazima aweke wazi kuwa alifuatwa. Utasikia "ni kweli nilikutana na Abdul nikamwambia amwambie mama yake anilipe stahili zangu nikampa na documents za madai yangu"...🤣
😂😂😂
 
Sasa tatizo liko wapi hapo ??
 
Huyu dogo ameharibu sana career yake kisa tamaa za pesa za CCM. Muda si mrefu sana yeye na Katambi watapotea kabisa. Mark my word!
Dah! Akili ni nywele kila mtu anazake, hao jamaa uliowataja ndio watu walioweza kuzichanga vizuri karata zao, waliusoma vzr mchezo na wakauelewa wakafanya maamuzi. Waliobaki chadema niambie wewe wana nini? Njaa kali na wengine weshapotezwa wengine wapo magerezani kwa kesi za ugaidi na uhaini, Ukamanda sasa haulipi ni kujiharibia maisha yako tu.
 
Back
Top Bottom