TANZIA Babake Joshua Nassari afariki dunia

Dogo elewa viongozi wako wote huko CHADEMA ni wanaCCM wa siri. Ukimlaumu Nasarri inabidi uwalaumu na kina Lissu pia. Nassari kafanya vyema kuweka msimamo wake hadharani na kuhamia CCM tofauti na wanafiki waliojaa CHADEMA.
Naona unataka kufurahisha jukwaa.
 
Mark your word itakusaidia nini wewe Maskini? Mtu Kawa Mbunge Toka 2011 au 2012, Kawa DC alafu we Maskini unamtabiria mabaya🤣🤣
Kuna watu walikuwa wa bunge na mihela kibao lakini mwisho wao ulikuwa mbaya sana. Ulishajiuliza ni kwa nini? Wewe labda ni kijana mdogo sana ufahamu hata nikikutajia majina uwezi kuwafahamu.
 
R.I.P mshua, naona watu wengi wanamshambulia Nassari, wakati mwingine tuache uongo na unafiki, mpaka sasa mtu pekee aliyeonyesha uzalendo na kukataa ela ni Lissu peke yake tu, % kubwa ya waliobakia wanabwabwaja tu hapa JF, ela ikiwekwa mezani au cheo cha maana wanabadilika fastaa😎
Lissu mpuuzi sana. Ukimfuata hata kwa maongezi ya kawaida lazima aweke wazi kuwa alifuatwa. Utasikia "ni kweli nilikutana na Abdul nikamwambia amwambie mama yake anilipe stahili zangu nikampa na documents za madai yangu"...🤣
 
Haka kajamaa ndio kana bahati, kaliuchezea ubunge kakaupoteza, leo tena umekarudia...!

R.I.P baba'ke.

Watu mpunguze makasiriko humu ndani, vidonda vya tumbo sio issue.
 
Yaani maelezo yako yanaonesha kabisa wewe unapenda kula rushwa na kutapeli watu. Mtu yeyote anayeishabikia CCM asilimia kubwa ni mpenda rushwa na tapeli. Ni ngumu sana ukawa unapenda haki na unachukiwa rushwa eti ukabaki mwanachama mwaminifu wa CCM
 
Wewe wasema.
 
Haka kajamaa ndio kana bahati, kaliuchezea ubunge kakaupoteza, leo tena umekarudia...!

R.I.P baba'ke.

Watu mpunguze makasiriko humu ndani, vidonda vya tumbo sio issue.

..inawezekana Nassari alishindwa kuhimili mashinikizo ya kipindi kile cha Jpm akaamua kumwaga manyanga.

..lakini kwasababu aliishi vizuri na wananchi ndio maana akaweza kujiunga na Ccm na kushinda ktk kura ya maoni za chama chao.

..Ni mwanasiasa aliyepitia upinzani huwa ameiva kwelikweli, ni sawa na mtoto wa shule ya kata aliyefaulu vizuri kuliko wale wa shule za vipaji maalum.
 
Si kweli. Kwani alichaguliwa na CCM au wananchi hao unaodai aliishi nao vizuri? Je, hao wananchi wako nao walijiunga au walikuwa maccm? Kabla ya kutoa hitimisho mjumuisho jipe japo sekunde ya kufikiri kama mtu anayejua aandikacho mwanangu.
 
..inawezekana Nassari alishindwa kuhimili mashinikizo ya kipindi kile cha Jpm akaamua kumwaga manyanga.

..lakini kwasababu aliishi vizuri na wananchi ndio maana akaweza kujiunga na Ccm na kushinda ktk kura ya maoni za chama chao.

..Ni mwanasiasa aliyepitia upinzani huwa ameiva kwelikweli, ni sawa na mtoto wa shule ya kata aliyefaulu vizuri kuliko wale wa shule za vipaji maalum.
Nakumbuka aliondolewa bungeni kwasababu ya utoro.
 
..labda ilikuwa mpango uliosukwa ili aondolewe.

..au ni kweli alifanya makosa na kwasababu alikuwa upinzani wakamnasa.

..funzo kubwa ni jinsi alivyoweza kuungana nao, na kuwashinda wenyeji wake ktk kura za maoni.
 
Kofia ya "upinzani" ilimbeba jimboni kwake.

CCM wana tabia ya kuangalia anayekubalika field zaidi ya yule anayeshinda kura za maoni.
 
Dogo elewa viongozi wako wote huko CHADEMA ni wanaCCM wa siri. Ukimlaumu Nasarri inabidi uwalaumu na kina Lissu pia. Nassari kafanya vyema kuweka msimamo wake hadharani na kuhamia CCM tofauti na wanafiki waliojaa CHADEMA.
Kwanini wawe cccm wa siri? Nakwanini munatesa wakati ni ccccm wenzenu?
 
Back
Top Bottom