Bababhoke has joined the Jamii


bababhoke

New Member
Joined
Feb 3, 2010
Messages
2
Likes
0
Points
0

bababhoke

New Member
Joined Feb 3, 2010
2 0 0
Dear Jamii family
Hi everyone!
Thanks managers of jamii forums for this site. Very popular and useful rosource. I am an entrepreneur and a beliver of rich through hardwork and creativity.

I promise to be a good team player in Jamii family

Thanks again and good day
 

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
80,439
Likes
117,239
Points
280

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
80,439 117,239 280
Karibu sana jamvini Bababhoke, jisikie uko nyumbani kabisa na hicho chumba cha kwanza mkono wako wa kulia kuna friji kubwa tu jisaidie kwa chochote ukipendacho ndani ya friji hiyo. Kuna Coke, Fanta na Sprite pia kuna beer za aina nyingi na pombe zetu za kienyeji pia kama vile kimpumu, Ulanzi n.k. :) Wasalimie sana Bhoke na Mama yake.
 

JS

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2009
Messages
2,067
Likes
19
Points
135

JS

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2009
2,067 19 135
Karibu Baba Bhoke. Mama Bhoke hajambo???? na Bhoke je??? na mdogo wake Bhoke???
 

Forum statistics

Threads 1,204,958
Members 457,641
Posts 28,178,009