Babaake Nanihii huyu hapa

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
68320_10151286675046749_1812963622_n.jpg
 
hiyo boti ya nani ya kwake,kuna tetesi nilisikiaga kuwa eti huyu ndiye raisi maskini wa marekani kati ya maraisi wote :whistle:
 
Huyu jamaa anaipenda sana familia yake.

Nadhani hakuna baba asiyeipenda familia yake ila hatuna resources za kufanya mambo ya kifahari. mtu huna unga nyumbani hakuna atakayeona unaipenda familia maana hutatoka nayo kwa watu wakakuona na kukupa sifa hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom