Babaa matatooo....

Babaa matatooo....

masha bwana alikurupuka tu,yeye na aam malima ndo wana huo mpango wa kumfilisi mengi.

kimsingi hafai kuwa waziri wa wizara nyeti kama anayooongoza.anashindwa hata na mrema ambaye kamwe alikuwa harudi nyuma kwenye maamuzi yake.

huyu masha ni kijana wa mjini tu anashinda rose gadeni anakunywa bia.hamuwezi mengi mtoto mdogo sana huyu.

Duh....
 
nashukuru mungu katuweka kila mtu na akili zake..wengine wanakua hata picha hawaoni...
Kumbe umejaaliwa kila idara mimi nilijua sura tu, leo naona kila kona ya mwili wako unaonekana, kwa kweli umependeza sana

Naona mambo yako si haba
 
Kumbe umejaaliwa kila idara mimi nilijua sura tu, leo naona kila kona ya mwili wako unaonekana, kwa kweli umependeza sana

Naona mambo yako si haba

hahahaha Mungu hakutaka lawama kbs
 
mumeo angechora picha ya kiume ungejishiaje????

Marytina;
Mbona wanawake wengi tu siku hizi huchora picha za watu tena sehemu huwezi amini alikaaje ikachorwa? Iwe huyu kamchora kakake?? Mbona ninyi mwawazia maovu tu? Huyu mama alisema, kamchora aliyemtoa usichana wake. Weye ulichora? Sa ndo tuseme hukumfurahia?
Mwache achore tu, ni kumbukumbu yake. Anajua alichomtendea. Tena kifuani, ingekuwa penye milima miwili mngesemaje?
 
Back
Top Bottom