Babaa matatooo....

Babaa matatooo....

Ndio kuna uwezekano wa kumchora nduguyo marehemu mwili ni kama njia ya kumuenzi na kumkumbuka…lakini sio lazima,ni ishara pia walikuwa na ukaribu sana…Ukaribu wa vipi hio sijui…..na sitaki kufikiria lol kwasababu assumptions zinaweza kuwa nyingi,matumaini yangu nimetoa mchango wa msaada kwako :smiling:
Tunaenzi kwa njia ya kuweka jina na picha kwenye matshirt bana......
 
kwahiyo jamaa itakuwa kamchora bebi wake?

Hii kitu sijawahi kusikia.....najaribu kuielewa bado ubongo unagoma kuprocess hii kitu....
Labda nikupe yapi yanaweza kuwa kweli
1. jamaa kachora picha ya Mr wake
2. jamaa kachora picha ya Mrs wake
3. jamaa kachora picha ya kaka yake kweli kweli...kuna ndugu wameshibana sana

Nadhani huyo bibie aombe kuoneshwa picha ya huyo kaka mtu aone kama zashabihiana.
Japo hata kama akikuta ni kweli kaka yake...bado haimfanyi huyo kaka asiwe Mr au Mrs....mombasa hiyo....ohooooo
 
Mombasa kule nasikia pool table alichezeki kama inavyopaswa kuchezwa.
 
Muulize vzr shoga yako anafurahia mjengo anaopigwa sio mnatoa shutuma tu
Hahahhaha we nawe....mjengo upo ila si sanaaaa, kiasi kwamba anaweza akakaa hata wiki mbili asimtafute kbs
 
Hii kitu sijawahi kusikia.....najaribu kuielewa bado ubongo unagoma kuprocess hii kitu....
Labda nikupe yapi yanaweza kuwa kweli
1. jamaa kachora picha ya Mr wake
2. jamaa kachora picha ya Mrs wake
3. jamaa kachora picha ya kaka yake kweli kweli...kuna ndugu wameshibana sana

Nadhani huyo bibie aombe kuoneshwa picha ya huyo kaka mtu aone kama zashabihiana.
Japo hata kama akikuta ni kweli kaka yake...bado haimfanyi huyo kaka asiwe Mr au Mrs....mombasa hiyo....ohooooo

Picha anakataa kuonyesha....na kwa taswira ya tatoo haionyeshi kama kunamfanano wa wanandugu hata kope tu.
 
Kwanza huko kujichora chora kunamaanisha nini ndo urembo au? halafu unachorwapicha ya mwanaume mwenzio loh huyo anapumuliwa kisogoni na huyo aliyemchora ndo anayemkuna over!
 
Picha anakataa kuonyesha....na kwa taswira ya tatoo haionyeshi kama kunamfanano wa wanandugu hata kope tu.


Hatari hii.....sasa unaposema hata show anapiga kwa kuunga unga hujapata majibu tu?
kazi yatakiwa kupigwa 24/7 mpaka mtu aombe pooo....au unasemaje lawyer
 
Back
Top Bottom